mimi sijaelewa avatar ya daud balali atakayeielewa plz anieleweshe
Mkuu....Mhhh Daudi Balali ivi si tuliaminishwa kuwa asha R.I.P au nilikua naota??!
I never believe him. Kwa kazi gani kubwa inayombeba ili awe asset?Nimekiwa nikisema
MAKAMBA ndie asset iliyobakia ccm, naona bado hamuamini.
Mkuu....Ndan ya nyumba kuna watoto wanaolishwa na baba yao alaf wanaenda mtaani kujitangaza na wao wanataka waitwe baba..huwez kurithi nafas ya baba wakat hajaandaa mrith
Alicheza karata zake vibaya sana, mind you, Mwenyekiti kama hakupendi anaku kata mchana kweupe.....Nimekiwa nikisema
MAKAMBA ndie asset iliyobakia ccm, naona bado hamuamini.
Kuna mnara una jicho moja.mimi sijaelewa avatar ya daud balali atakayeielewa plz anieleweshe
Daaah mkuu natamani sana kujua yaliyomo kwenye hiyo a/c ila kwa kua si salama tuachane nayo tuMkuu....
Hii account ya Balali ina habari nyingi nyuma ya pazia.
Kwa wanao jua yalio wahi kujiri kuhisiana na account hiyo.
Ningekueleza machache mkuu, lakini kwasasa humu si salama tena