Aliyeelewa hii naomba anieleweshe

Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,408
2,000
Kuna watoto wanaona kuwa baba awezi kuendesha familia kwa sababu apendi ushauri ata kidogo wanaona Bora waanze kujiandaa kuwa baba
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,742
2,000
Mhhh Daudi Balali ivi si tuliaminishwa kuwa asha R.I.P au nilikua naota??!
Mkuu....
Hii account ya Balali ina habari nyingi nyuma ya pazia.
Kwa wanao jua yalio wahi kujiri kuhisiana na account hiyo.
Ningekueleza machache mkuu, lakini kwasasa humu si salama tena
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,742
2,000
Ndan ya nyumba kuna watoto wanaolishwa na baba yao alaf wanaenda mtaani kujitangaza na wao wanataka waitwe baba..huwez kurithi nafas ya baba wakat hajaandaa mrith
Mkuu....
Yawezekana kunatandao tayari umejengwa ndani ya hicho chama na sasa wana mtunia February Ma-Rope, kuanza kusambaza sumu kwaajili ya kumuangusha Sizonje ifikapo 2020.
Na hata wana chama wapo ambao tayari wamesha choshwa na mtawala, na wanaona njia pekee ya kumuweka pembeni ni anguko la 2020
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,314
2,000
Nimekiwa nikisema
MAKAMBA ndie asset iliyobakia ccm, naona bado hamuamini.
Alicheza karata zake vibaya sana, mind you, Mwenyekiti kama hakupendi anaku kata mchana kweupe.....
Nakumbuka issue ya Cyber crime alivoshupalia, bado kujenga blocks na wapinzani ambapo alikuwa ashapata wafuasi....
Bado dada nae kamshusha kwa "kutuhumiwa"kujihusisha na madili ya ajabu.
Anyways, i wish good for him
 

lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,690
2,000
Namuona January kwa jicho la tofauti sana!

Ni mtu pekee ndani ya hicho chama sikuwahi kumuona akilewa "masifa" na kusemasema hovyo!

Nafikiri anaweza kuwa kiongozi bora!
 

mlimilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,210
2,000
mimi sijaelewa avatar ya daud balali atakayeielewa plz anieleweshe
Kuna mnara una jicho moja.
Kuna sqear angle,
Chini kuna alama ya C.

Jicho linamaanisha tunakouna kila unapoenda na ulipo,

Sqear angle.kazi yake ni kupima pembe zote za dunia,

C. ni compass ,inatumika kuangalia uelekeo wa pembe zote za unakotaka kuelekea ktk dunia.

Halafu hayo maneno yanasomeka kama "anuit kontinue"ni lugha ya kiratin yaani wanamaanisha TUMEFANIKIWA MALENGO YETU.

kazi kwako malengo gani ambayo wamefanikiwa hawa jamaa ktk ulimwengu huu.
Nembo hiyo ipo ktk noti ya doller moja.
 

Chichi Theboy

JF-Expert Member
Feb 20, 2015
397
500
Mkuu....
Hii account ya Balali ina habari nyingi nyuma ya pazia.
Kwa wanao jua yalio wahi kujiri kuhisiana na account hiyo.
Ningekueleza machache mkuu, lakini kwasasa humu si salama tena
Daaah mkuu natamani sana kujua yaliyomo kwenye hiyo a/c ila kwa kua si salama tuachane nayo tu
 

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
348
500
Mkuu....
Hii account ya Balali ina habari nyingi nyuma ya pazia.
Kwa wanao jua yalio wahi kujiri kuhisiana na account hiyo.
Ningekueleza machache mkuu, lakini kwasasa humu si salama tena
Funguka mkuu
 

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
966
250
January hajawahi kufaa,hawezi kufaa na hatokuja kutufaa kuongoza.

Ni Aina ileile ya viongozi wa majaribio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom