popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,608
Ipo siku hata wanaowasapoti Leo wataona its too much,tuombe uzima,Yajayo yanafurahisha mno
Ipo siku hata wanaowasapoti Leo wataona its too much,tuombe uzima,Yajayo yanafurahisha mno
Pelekeni hela ya matunzo bhanaa. Ssa kulea mtoto tu hamuwezi, kuongoza Nchi mtaweza!!?Bashite alikuwa sana na uhakika wa dna. Kwa nini? Majibu anayo?
Hata angekuwa wa 40 kama wako mtoto tu! Ssa imekuwaje mkamkoromea mpaka mkamlazimisha almbe masamaha!? Halafu mkasahau kumwambia akanushe, kaishia kuomba msamaha wa kumtaja mzee hadharani.Mtoto wa miaka 31?
Kada
Dah... unatumia nguvu nyingi sana kutetea ujinga huku ukitafuta huruma ya Mungu...Kwa hyo pale kaomba msamaha gani? Mbona anasema yeye alitaka tu apate msaada baada ya kuzungushwa muda mrefu na hakutaka yawe makubwa!?
Kwa nni mlimfuatilia kumtia misukosuko mpaka kumteka akaombe msamaha chini ya upinzi!? Yeye anasema mligeuza suala lake la Kisiasa badala ya lengo lake la kutaka msaada wa babake.
Pale alipoombea msamaha palikuwa wapi na ni kwa nini yule binti hakuwa huru kama alivyotoa taarifa ya awali!?
Ni wapi amekanusha kwamba hahusiani na yule mzee wetu!? Na mbona hamkumtafuta na mamake akanushe!? Muogopeni Mungu!
Sasa bushmen aliekuja town na GARI za ng'ombe ataweza pambana na born town, ambao wako kwenye game tangu wakuja anachunga mbuzi bushi.dada wa watu ameomba msamaha kabla bashite hajakamilisha mpango wake,maana ile juma mosi alipokuwa anongea TBC alimwambia LOWASSA asijaribu kupima uwezo wake kama mkuu wa mkoa.
Hajasema kwamba alitumwa Kisiasa ila amesema suala lake limechukuliwa Kisiasa na Sasa Kuna watu wanamuandama mpaka anaiona Dunia chungu.Si mwenyewe amesema alikuwa anatumiwa na watu kisiasa? Hilo ni kosa la jinai inabidi akasaidie polisi kueleza waliyemtuma, hamtaki kama mzee amesingiziwa asafishwe kisheria na aadhibiwe kwa usumbufu aliotoa kwa kuwasilisha madai ya uongo?
Angalao wwe umekuwa mkweli, unajua nn kinaendelea. Wengine ni oya oya tu. Mradi Lema kasema bhaaas!Huezi mchezea Lowasa rafu ukabaki salama! Le Commender ajiangalie sana!
References: Nape, kuna wazee hawaguswi kirahisi; Edo ni next level.
Kafika mjini zamani! We wa juzi tu hata babako alimkuta mjini ndo mana anawapa shida sana hamli mkashiba, hamuogi mkatakata.....
Acha izo mambo
Tuendelee kujenga Viwanda. Naamini siku inzi akiacha ujinga atatengeneza asali. Tujifikirishe japo kidogo.Sasa matusi yametokea wapi? Endelea kutumia nguvu zako kushupalia ujinga wenzako tuko bize kujenga viwanda
Sawa lakini sio kwa ishu hizi za kitoto. Wanasiasa wanatuchezesha shere kwa vitu vya kijinga tunasahau kuelekeza nguvu zetu kwenye ishu za maendeleo.Tuendelee kujenga Viwanda. Naamini siku inzi akiacha ujinga atatengeneza asali. Tujifikirishe japo kidogo.
Hahaha, statement yako ya mwisho imetengeneza siku yangu. Umeanza kuwa na akili. Tusipoteze focus kwa hoja za hawa watu. Tuchape kazi tukitazama mbele kwa ajili ya maendeleo ya Viwanda. Usiku mwema aisee!Sawa lakini sio kwa ishu hizi za kitoto. Wanasiasa wanatuchezesha shere kwa vitu vya kijinga tunasahau kuelekeza nguvu zetu kwenye ishu za maendeleo.
Ndo kama hivi sasa lidada lina miaka 31 badala ya kutulia liolewe linahangaika kumtafuta baba. Afu watu wako bize kuhangaika kufuatilia huu ujinga...
Na hii ndio jibu kwa nini akina Lema wanalaumu kukamatwa kwa wanaoyedai katoa ushuhuda wa uongo juu ya bosi wao badala ya kushangilia. Kuwa wanajua walichofanya hata akalazimika kuomba radhi!!!Hajasema kwamba alitumwa Kisiasa ila amesema suala lake limechukuliwa Kisiasa na Sasa Kuna watu wanamuandama mpaka anaiona Dunia chungu.
Kama wewe ni mchunguzi japo kidogo utagundua wanaomuandama ni wale waliotajwa sio wale waliopelekewa kesi.
Lazima uwe smart, maelezo yenyewe kayatoa chini ya usimamizi maalum( body language) hakuna inajieleza, sauti na video imeungwaungwa kisanii!