Elections 2010 Aliyechagua/Atakayechagua CCM ni KOKOTO

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Nchi hii ina matabaka mawili: Masikini na Matajiri.

Kama kuna Mtanzania masikini na leo umeenda kituoni ukachagua CCM, basi huyo Mtanzania ni KOKOTO.
 
Mie nadhani ni swala la sanity. Mtu mwenye akili timamu awezi chagua chama ambacho kiwefanikiwa kulidumbukiza ktk lindi la umaskini
 
Mie nadhani ni swala la sanity. Mtu mwenye akili timamu awezi chagua chama ambacho kiwefanikiwa kulidumbukiza taifa ktk lindi la umaskini. Its time for change!
 
Mkapa bado ni mbabe sana jamani!...Huu msamiati sijui kautoa wapi, kweli ukiishabikia ccm ni kokoto!
 
Mkapa bado ni mbabe sana jamani!...Huu msamiati sijui kautoa wapi, kweli ukiishabikia ccm ni kokoto!

Michuzi Blog wametoa picha na caption ya "Rais Mkapa Akihutubia".

Kuna watu bado wanamuita Rais.

Nchi ya kisanii hii jamani!!
 
Mkapa bado ni mbabe sana jamani!...Huu msamiati sijui kautoa wapi, kweli ukiishabikia ccm ni kokoto!

Ubabe kukemea wale wanaotaka kumomonyoa mshikamano wa taifa ni sahihi kabisa. Hongera Ben.
Tunakupenda kwa jinsi usivyotafuna maneno katika kukemea wale wanaotaka kutupeleka pabaya. God bless you.
 
Ubabe kukemea wale wanaotaka kumomonyoa mshikamano wa taifa ni sahihi kabisa. Hongera Ben.
Tunakupenda kwa jinsi usivyotafuna maneno katika kukemea wale wanaotaka kutupeleka pabaya. God bless you.

Sound of a fisadi.

A typical kokoto
 
Back
Top Bottom