Aliyeandika jina moja la mtengeneza habari(Sir name) kafungiwa miezi sita,aliyetweet taarifa ya Uongo iliyoleta taharuki hata kuonywa tu hakuna

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Aliyeandika story kwa kuandika jina moja la mtengeneza habari(Sir name) kafungiwa miezi sita,aliyetweet taarifa ya Uongo iliyoleta taharuki hata kuonywa hajaonywa.

Hapo ndipo namkumbuka Prof Jay na mashairi yake....
"Bongo eeeh
Bongo Dar es Salaam
Utalia lia lia lia
Ndani ya Dar es Salaam"
 
Ndo happy ujue kwamba kiongozi wa Serikalini wako juu ya sheria
 
Aliyeandika story kwa kuandika jina moja la mtengeneza habari(Sir name) kafungiwa miezi sita,aliyetweet taarifa ya Uongo iliyoleta taharuki hata kuonywa hajaonywa.

Hapo ndipo namkumbuka Prof Jay na mashairi yake....
"Bongo eeeh
Bongo Dar es Salaam
Utalia lia lia lia
Ndani ya Dar es Salaam"
Ulitaka aonywe marangapi? Kama alitoa taarifa ya uongo alishaonywa na Vitabu kama Biblia na Quoran kwamba "Asiseme uongo" Lakini kama alitaka kuhalalisha angesubiri Tarehe 1/4/2020 aseme kabla ya saa 6 mchana.
 
Kasesela afadhali angeomba radhi
Aliyeandika story kwa kuandika jina moja la mtengeneza habari(Sir name) kafungiwa miezi sita,aliyetweet taarifa ya Uongo iliyoleta taharuki hata kuonywa hajaonywa.

Hapo ndipo namkumbuka Prof Jay na mashairi yake....
"Bongo eeeh
Bongo Dar es Salaam
Utalia lia lia lia
Ndani ya Dar es Salaam"
 
Mizizi inatofautiana na hivi umeandika soon utawasikia TCRA kwamba tunamuonya mkuu wa wilaya mana siku hizi wanaendeshwa kwa mitandaoni wanaongea nn
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom