Aliyeandaa maandamano kawafikiria watanzania walio Afrika Kusini na balozi yetu? Wakijibu mapigo tutawalaumu?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ivi watanzania wajinga na kikundi hiki nani kawaroga? Ivi tunaonekana shule zetu zinavyotoa elimu ya kijinga.

Sie tuna katiba inasema kuna mihimili 3 yaani serikali, bunge na mahakama na vinajitegemea haviingiliani. Ila ukweli kwa tanzania kuna muhimili uliojichimbia chini zaidi yaani unaingia kote kote.

Kwa swala la ndege kwa wenzetu ni zuio la mahakama sio serikali ya afrika kusini. Kwenda balozini maana yake unaishutumu serikali ya afrika kusini ndio wamekamata ndege.

Na kuna habari baada ya kukamatwa mwenyekiti wa sadc alimpigia rais wa SA bila shaka aliambiwa serikali na mahakama haviingiliani na dawa ya deni ni kulipa.

Sijaelewa hawa waandaa maandamano ya maigizo wamefikiria wenzetu walioko SA wakijibiwa kwa vitendo atalaumiwa nani?

Ivi kati ya tanzania na SA nani anamuhitaji mwenzake? Wamefikiria hayo?
 
UVCCM hawa wanakurupuka sana, na watu wa bondeni huwa hawabeep kama walivyofanya hawa wajinga,wakilianzisha lazima walete maafa
 
Magufuli anawanyoosha watatukana kila aina ya matusi
Anawanyoosha au ana jinyoosha mwenyewe ?

Kwa hii comment yako naamini aalie ratibu maandamano yale amefanikiwa kwa kiasi fulani kufikisha ujumbe wake kwa watu kama wewe

Kwa sababu yaliandaliwa kwa ajili ya mambumbu kama wewe ambao ndio mlio wengi nchi hii ...

Na hili limefanywa ili watu kama wewe muamini kwamba S.A ni mabeberu

Mbona hamkwenda kuandamana ubalozi wa Canada wakati ule
 
Kwan hawa walio andaman embu nicheke wanataka nn maan kam serekali imenunua ndegee na hali imezid kuwa mbay kiuchumi bongo sas za nn c bora zikae tu chin
 
Ivi watanzania wajinga na kikundi hiki nani kawaroga? Ivi tunaonekana shule zetu zinavyotoa elimu ya kijinga.

Sie tuna katiba inasema kuna mihimili 3 yaani serikali, bunge na mahakama na vinajitegemea haviingiliani. Ila ukweli kwa tanzania kuna muhimili uliojichimbia chini zaidi yaani unaingia kote kote.

Kwa swala la ndege kwa wenzetu ni zuio la mahakama sio serikali ya afrika kusini. Kwenda balozini maana yake unaishutumu serikali ya afrika kusini ndio wamekamata ndege.

Na kuna habari baada ya kukamatwa mwenyekiti wa sadc alimpigia rais wa SA bila shaka aliambiwa serikali na mahakama haviingiliani na dawa ya deni ni kulipa.

Sijaelewa hawa waandaa maandamano ya maigizo wamefikiria wenzetu walioko SA wakijibiwa kwa vitendo atalaumiwa nani?

Ivi kati ya tanzania na SA nani anamuhitaji mwenzake? Wamefikiria hayo?
inafikirisha
 
Huo ujinga polisi wameuvumilia, hapo serikali ya Afrika Kusini ndio wameikamata hiyo ndege?

Vv
 
Licha ya hivyo, Ndugu zetu wanauliwa kiholela huko SA kwenye vugu vugu la 'Xenophobia' hakuna hata mmoja aliyewahi kuandamana kuelekea ubalozi wa SA kushinikiza na kuonyeasha hatupendezwi na vitendo hivyo. Leo ndege imekamatwa ikatokea Misukule kadhaa kufanya maandamano uchwara, ama kweli JPM kawajaza watu sumu ya kuona 'vitu' vinathamani kuliko 'utu'
 
Wale ni malofa wa Lumumba wameandamana alafu wengi wao wapo JF kibao.
Wakudadavuwa stroke hawa masikini leo waliandamana pale ubalozini
 
Ajabu zaidi walioandamana hata hawajawahi fikiria kunasiku watapanda hiyo ndege...wanaosafiri kwa ndege hata kama n wa tz kwasasa Imani imekufa juu ya hili shirika maana unaweza fukuzishwa kazi kama siyo kuchelewa biashara zako kisa ndege haina uhakika wa safari ndani ya mda ulioapngwa
 
Hapo ndo waafrika wanaonekana kama wapuuzi. Thinking capcity kama ya mbuzi.

Kitu kama hiko hakihitaji PHD kung'amua kosa lipo wapi.

CCM mnatutia aibu hata sisi tusio na mawazo ya kishamba kama yenu.

Wasukuma wanataka kutufanya watanzania wote tuonekane washamba kama wao.
 
Back
Top Bottom