Elections 2010 ALIYEAHIDI STARS KWENDA GHANA kweli KUFUTA JEMBEMKONO?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
ALIYEAHIDI STARS KWENDA GHANA kweli KUFUTA JEMBEMKONO?

Kulingana na gazeti la majira la leo Kikwete ameahidi atafuta KILIMO CHA JEMBE LA MIKONO KATIKA MIAKA MITANO IJAYO KAZI ILIYOMSHINDA MIAKA ISHIRINI NA SABA iliyopita aliyokuwa amepiga kambi kwenye baraza la mawaziri akiwa naibu waziri, waziri na sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

“Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii”

ALIYEAHIDI STARS KWENDA GHANA kweli KUFUTA JEMBEMKONO?

Kulingana na gazeti la majira la leo Kikwete ameahidi atafuta KILIMO CHA JEMBE LA MIKONO KATIKA MIAKA MITANO IJAYO KAZI ILIYOMSHINDA MIAKA ISHIRINI NA SABA iliyopita aliyokuwa amepiga kambi kwenye baraza la mawaziri akiwa naibu waziri, waziri na sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

"Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

na kweli huu ni u-firauniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom