Aluu! Kwa bongo naona uzinifu ni karibu kila mtu anafanya tena hata ikikulipukia kama Kanumba bado watu wanasema ulikuwa na tabia mbaya sasa lipi jipya kwa Kapuya?
aliuvuruga sana mchezo wa soccer akiwa waziri wa michezo kwa maamuzi yake ya ajabu ajabu, na mwaka 2005 clouds fm kupitia kura ya maoni walimtangaza kama waziri aliye perform vibaya kabisa
Ila kimtindo alisaidia kumfunga jela Eden Raage pindi alipokuwa ananyemelea jimbo la tabora
huyu jamaa ananikosha sana nikisikiliza mama vanessa la akudo impact.
kifupi kwangu ndicho kituaalichonia chia kwa miaka yote aliyokuwa serikalini kwani ukishaacha arsenal mimi ni mshabiki mkubwa wa akudo.
Namkumbuka sana kwa kuwaambia Wadanganyika ukweli mchungu pale alipokwenda kwao kijijini Kaliua alitumia ndege ya jeshi alipoulizwa kwa nn atafanya ufisadi huo akasema "mlitaka nipande punda"!
Pia alitengeneza kakiwanja chake cha ndege pale Kaliua kadogo dogo ka-kishikaji hako ni ka kwake peke yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.