Aliye na mazuri yaliyopatwa kufanywa na Prof. Kapuya kama kiongozi ayaweke hapa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliye na mazuri yaliyopatwa kufanywa na Prof. Kapuya kama kiongozi ayaweke hapa"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by buhange, Apr 15, 2012.

 1. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF, Ni fursa yetu sasa walipa kodi kujadili mambo kadhaa yanayofanywa na yaliyopata kufanywa na wawakilishi wetu hasa hawa wabunge. Mh. JUMA ATHUMAN KAPUYA ni Mbunge wa jimbo la URAMBO MAGHARIBI ( SASA WILAYA YA KALIUA).

  Aliyepata kuwa WAZIRI ktk awamu kadhaa na ktk WIZARA kadha wa kadha. Sasa naomba kujua uadilifu na uchapakazi wa kiongozi huyu kwa kuangalia aliyopata kuyafanya kwa Watanzania wote na hata ktk jimbo lake akiwa Waziri na sasa Mbunge wa kawaida. Weka hapa Comment(s) ujuayo kuhusu mwakilishi huyu..... Naomba kuwasilisha.
   
 2. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi Kapuya toka arudi bungen alishaachangia mjadala wowote ktk hili bunge la Spika Makinda.
   
 3. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mmmmh! Mkuu mi huwa namuona tuu wakati wabunge wanatoka mjengoni, wanahabari wapitishapo kamera aliyo ila kuchangia sijawahi kumsikia wala kuona, labda jimbo lake ni PARIS NDOGO
   
 4. n

  n.ngereja Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kahudhuria simba day mara nyingi
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwa kushirikiana na simon kupiga dili la UDA
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hilo ni Janga la Taifa,wakati flani Mengi wakati anasoma Uk walikuwa na jamaa yeye alikuwa anasomea uprof wa majani.
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Jinsi anavyojua kukata mauno kwenye sebene, ile avator iwekwe humu jamaa ayajue
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  kupigwa picha disko na katoto kadogo
   
 9. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Si udaku, ni kweli kabisa. Mimi sijui, jema la kapuya, silijui. Ninayoyajua ni haya: (

  1) mwanae kapuya, baraka kuua mtu na yeye kumkingia kifua

  (2) kutembea na mabaunsa wanaotsha wananchi wake

  (3) kuhonga piki2 30 na baiskeli 300 wananchi wakati wa uchaguzi mkuu 2010, zilitolewa na rostam azizi;

  (4) kudhalilisha akina mama kwa kuwatia ... Wakiwa wameinama wanaosha vyombo kwenye hafla zake anazoziandaa; (5) kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa hassan kataga a.k.a aleialei, diwani wa zamani wa kaliua; nk

   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi namfahamu kwa 2 tu. Ni MDINI ALIYEKUBUHU. Ni MZINIFU.
   
 11. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Aiseee...!!!!
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Anamiliki bendi ya muziki wa dansi!!
   
 13. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakati ni wazir wa elimu na utamaduni.kimichezo tulikuwa poah sana.alivoingia mkenya yule mungai mambo yote mazur ya kapuya yakapwaya
   
 14. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Naona hii maada imewekwa kwa malengo maalum ya kumchafua mtu.
   
 15. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mleta hoja ameomba aelezwe mazuri yake na si mabaya yake au mna chuki binafsi?
  1. Yeye ni msomi wa cheo cha juu.
  2. Yeye ni mwakilishi wa wananchi kupitia CCM.
  3. Yeye ni mnyamwezi wa Urambo. nk
  4. Acheni upuuzi wa kumwangalia mtu kisogoni tu, angalieni na usoni mwake.
   
 16. k

  kimalando Senior Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni Prof. mahiri wa Botany na amezalisha wataalamu wengi katika fani hiyo mimi nikiwa mmoja wao. Katika somo ambalo namkumbuka sana ni Plant Physiology ni somo gumu lakini kwa umahiri wake wake analifundisha vizuri sana na kueleweka sana.
   
 17. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huwezi kuongelea VETA bila kumtaja KApuya!
  Huwezi kuongelea Hijab mashuleni bila kumtaja Kapuya.
  Huwezi kuongelea ubaguzi wa Uislam na Ukristo bila kumtaja Kapuya.
  .
  .
  .
  .
  .
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Alianzisha bendi ya AKUDO IMPACT
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anamilik AKUDO IMPACT Band,so ametoa ajira hasa kwa WACONGO!
   
 20. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kukutana naye, ila niliambiwa ni mdiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! sijui kama ni kweli
   
Loading...