Aliye na mawasiliano ya Hawa Ghasia naombeni!

Status
Not open for further replies.

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, aliye na namba yake au valid social network account yake naomba anipatie.
Kama wewe (Hawa Ghasia) utaona uzi huu ukinitafuta kwa PM itapendeza zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hawa kapotea kabisa sijui yuko wapi kweli madaraka yanapita huyu mama ilikuwa haipiti siku 2 bila kumuona kwenye TV
Yaani mkuu wewe acha tu!, Sijui ndo zinaitagwa assigned values hizi? Yaani wakishakunyang'anya ndo hivyo tena wala huwezi kusikika! Nani alijua Hawa atapotea kiasi hicho? Saada Mkuya, Mary Nagu and the like! Kaazi kweli kweli!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom