Aliye kataa kunitendea haki!

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,236
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikataa kunitendea haki eti kwa sababu hata serikali ya ccm haitendi haki kwa kuwahifadhi na kuwakumbatia mafisadi....baada ya hapo nikashindwa kuendelea kudai haki yangu baada ya kuchomwa na ukweli......Je,viongozi wasipokubali kutenda haki kwa vitendo, watu wa kawaida watatendeana haki kweli?
 
Tatizo hujafafanunua nini kimetokea kwa hiyo hata kuchangia inakuwa ngumu maana tunakuwa gizani.
 
Ndipo nilipokubali kuwa kweli haki haipatikani kwa mzani kuwa sawa isi[pokuwa inategemea na mpimaji mwenyewe..............
 
Back
Top Bottom