Aliye-design hapa atumbuliwe tu...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,215
17,772
15542329_1150797178368573_1520786894450863549_n.jpg
 
Huyo aliyejenga, aliyesimamia, aliyeidhinisha ndiyo Watanzania halisi.

Kwa mambo kama hayo ndiyo nnapokubaliana na Donald Trump. Afrika bado sana kujitawala, inabidi tutawaliwe kwa miaka mingine mia mbili.
Nadhan yote hii hutokana na madhara ya kutawaliwa na chama kimoja tangu uhuru mpaka sasa.
Hakuna mawazo mapya kila siku wimbo ni ule ule tu yaan umasikini, maladhi na ujinga.
 
Ila izo zitakua kazi kwenye taasisi ya serikali, wanapenda kulipua kwel kwel. Wanajua mbinu zote za kuvumbua mafundi uchwara, sijui wanawatoleaga wapi.
 
Nadhan yote hii hutokana na madhara ya kutawaliwa na chama kimoja tangu uhuru mpaka sasa.
Hakuna mawazo mapya kila siku wimbo ni ule ule tu yaan umasikini, maladhi na ujinga.

Anza kujitawala kwa kuonesha mfano.

Kuna nchi hazina vyama kabisa lakini maendeleo mpaka utaacha mdomo wazi.

Hiyo ni sababu ya kijinga. Hivyo vyama vingine si mnawawapaparikia hao hao waliotemwa CCM? Umesahau?
 
Kuna uwezekano mkubwa compaction haikufanywa vizuri na hivyo kutokea kwa settlement maeneo ya pembeni ya chemba.
 
Huyo aliyejenga, aliyesimamia, aliyeidhinisha ndiyo Watanzania halisi.

Kwa mambo kama hayo ndiyo nnapokubaliana na Donald Trump. Afrika bado sana kujitawala, inabidi tutawaliwe kwa miaka mingine mia mbili.
Hapana faiza magufuli mwenyewe anatosha kututawala..si unaona mpera mpera hadi watu wanaomba poo..upotevu wa faru wenyewe umeundiwa kamati..unadhani watu watacheza na nyara za serikali..watachezewa wanyama nyumbu tu
 
Huyo aliyejenga, aliyesimamia, aliyeidhinisha ndiyo Watanzania halisi.

Kwa mambo kama hayo ndiyo nnapokubaliana na Donald Trump. Afrika bado sana kujitawala, inabidi tutawaliwe kwa miaka mingine mia mbili.
Dada umesema kweli kabisa,na ukweli huwa mchungu sana
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom