Aliwahi kuugua kifua kikuu (TB), majuzi ameanza kujisikia kikohozi. Imerudi tena?

Lakikunene

Member
Jul 18, 2017
98
92
Kuna ndugu yangu aliwahi kuugua kifua kikuu (TB) akapona imepita miezi 2 toka apone, sasa majuzi aliniambia ameanza kujisikia kama kikohozi kinamuanza hivi wakati wa usiku na hali fulani ya koo kuwasha.

Je yaweza kuwa ni TB imerudi tena??? Ilhali alitibiwa na kupona kabisa na hana maradhi mengine kabisa na alipona kabisa

Wataalam naombeni mnijuze
 
Ahsante kwa ushauri ila dalili zimekuja za kawaida tu kama kikohozi kidogo hivi na sio mara kwa mara
Ninaposema mwili uko vulnerable, maana yake ugonjwa wowote ni rahisi kumshambulia mfano pneumonia. Si lazima iwe TB.
 
Kuna ndugu yangu aliwahi kuugua kifua kikuu (TB,) akapona imepita miezi 2 toka apone , sasa majuzi aliniambia ameanza kujisikia kama kikohozi kinamuanza ivi wakati wa usiku na hali fulani ya koo kuwasha...
Arudi hospitali akapate kipimo Tena
 
Back
Top Bottom