Anderson Shimb
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 169
- 25
Siku zote mtu akifikia hatua ya kukiuka kiapo alichokitoa mbele ya Mungu wake je atashindwa kukiuka kiapo cha Katiba ya Tz tu?
Siku zote mtu akifikia hatua ya kukiuka kiapo alichokitoa mbele ya Mungu wake je atashindwa kukiuka kiapo cha Katiba ya Tz tu?
CCM,CCM ,CCM go out, go out,gooooo.mtasema sana but 2015 imekula kwenu
na ukivunga agano na mungu kuwa utamtumikia ktk maisga yako yote unalaaniwa na kuwekewe alama ya chuki kama kaini slaa analaana nzito