Alivyosema Askofu Dalu kupitia TBC ni sahhi.

Anderson Shimb

Senior Member
Dec 23, 2013
169
25
Siku zote mtu akifikia hatua ya kukiuka kiapo alichokitoa mbele ya Mungu wake je atashindwa kukiuka kiapo cha Katiba ya Tz tu?
 
Amenena Ukweli maana huyu Dr ni kigeugeu..si umeona amemtelekeza Rozi Kamili
 
na ukivunga agano na mungu kuwa utamtumikia ktk maisga yako yote unalaaniwa na kuwekewe alama ya chuki kama kaini slaa analaana nzito
 
Kasema kweli, maana ile ni sawa na kuweka nadhiri ya kumtumikia Mungu alafu ukakiuka iyo nadhiri tegemea laana babkubwa, tegemeeni kusikia pumba nyingi zaidi ya hapo.... hata kwa mtazamo tu unaonesha babu zinaanza kuruka
 
"Ni bora kuvunja kiapo pale unapoona ulikosea kuliko kuendelea kukitumikia hata kama umegundua ulikosea.."by mimi.
 
huyo alikuwaa nanwasema wabunge na mawaziri wanakula viapo lakini wanatuibia. Hata raisi alikula kiapo lakini navunja katiba
 
Back
Top Bottom