Alisoma PCB anataka kureseat Physics tu. Akifeli litaathiri matokeo yake ya nyuma?

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Hivi mtu akirisiti somo mfano: Amesoma pcb ila anataka arisit labda physics tu. Je, akishindwa kulifauli inaathiri matokeo ya mwanzo.??? Na je kuna uwezekano wa kuli reseat tena kwa wakati mwengine?
 
Hivi mtu akirisiti somo mfano: Amesoma pcb ila anataka arisit labda physics tu ...je akishindwa kulifauli inaathiri matokeo ya mwanzo.??? Na je kuna uwezekano wa kuli reseat tena kwa wakati mwengine.?
haiathiri ili mradi wakati unaapply chuo unachagua cheti ukitumiacho
 
Back
Top Bottom