Alisafiri kamkuta mkewe ana mimba ya mtu mwingine

Nawashukuru sana wote mliochangia mada hii nawajulisha kwamba wazazi wa pande zote mbili walikaa na kuamua waache mtoto azaliwe na apewe familia ya kizungu ambaye hawana mtoto.na wenyewe wajaribu kupata mtoto mwingine baada ya muda kupita.

...shukran. Ila na mashaka hayo maamuzi yameegemea zaidi kumfurahisha mume. Anyway, 'kila mbuyu na shetani wake!'
 
Pia chochote kinawezakutokea wakati wa utoaji huo, wanaweza wakachokoa vibaya ukaharibu kizazi, unaweza hata kupoteza maisha.

Nasikia kuna watu ambao kiukoo mimba zao huwa hazitolewi sijui kama ni kweli maana nlishawahi kuambiwa;
'Kwetu mimba zetu huwa hazitolewi sasa wewe ukibeba mimba yangu afu uende ukatoe shauri yako.'


hiyo ni kweli ipo kwenye koo fulani fulani, mie sis wangu huko kwa mumewe ndio wana hiyo kitu na mke mwenzake alipuuzia akaitoa mimba bila kumpa taarifa mumewe, alienda period mfululizo mpaka mauti, oohh plz kama umeambiwa hicho kitu ucjaribu kukifanya kamwe.


hapo pengine hizo mimba zinatolewa wapi kienyeji hivyo?
 
hiyo ni kweli ipo kwenye koo fulani fulani, mie sis wangu huko kwa mumewe ndio wana hiyo kitu na mke mwenzake alipuuzia akaitoa mimba bila kumpa taarifa mumewe, alienda period mfululizo mpaka mauti, oohh plz kama umeambiwa hicho kitu ucjaribu kukifanya kamwe.


hapo pengine hizo mimba zinatolewa wapi kienyeji hivyo?

Mkiambiwa mizizi ipo na inafanya kazi watu mnabisha ona sasa huyo ameenda period mpaka Mola kamchukua.
 
kuna mnamibia tulikuwa nae kwenye kozi ya miezi 6 america ya kusini baada ya kurudi nyumbani kanipigia simu mkewe ana mimba ya mtu mwingine ya miezi 5.jamaa kachanganyikiwa anadai mkewe alitoka na rafiki zake wa kike wakaenda disco kitu ambacho alikuwa anafanya mara moja moja hata mumewe akiwepo[ladies nightout].siku hiyo wenzake walikuwa wakicheza akaja mwanaume aliyeonekana msaarabu na kuomba kukaa naye,baada ya maongezi ya kawaida jamaa akaamka kufata kinywaji na kuomba kumletea na yeye.baada ya kunywa kinywaji hakumbuki kilichotokea akajikuta kwenye chumba cha hoteli akiwa uchi asubuhi ya pili huku akiwa peke yake.aliporudi nyumbani na kuwapigia simu rafiki zake wakamwambia hata wao walishangaa alivyoondoka gafla wakadhani hakujisikia vizuri na kurudi nyumbani.alipima ukimwi na kujikuta salama lakini kuhusu mimba alitaka mumewe arudi waamue la kufanya.hajaripoti polisi kwakuwa hamjui jamaa aliyembaka.
Rafiki yangu anadai anampenda sana mkewe na angeweza kutoa mimba bila ya yeye kujua na muda pia ungeruhusu.yuko njia panda kuhusu kulea mtoto wa mtu huko wenyewe hawana mtoto.nimshaurije?
kwenye mapenzi siku zote hakuna ushauri kwa kuwa huwezi kuubadilisha wa mtu kama amempenda hata umwambie amuache hawezi kufanya hivyo. Kwa huyo jamaa yeye apime mwenyewe ni kiasi gani anampenda huyo binti kwa sb yeye anajua tabia ya mkewe ilikuwaje tangu huko walikotoka. Kwa sb huyo mama naona sound tu ingekuwa mimi nisingefikiria mara mbili. Eti alimsubiri mumewe waamue. Niamue kulea mtoto wa mtu? Yeye alimpenda huyo jamaa akatamani kuzaa naye inaonekana huyo ni jamaa yake wa long time. Mshkaji alivyopata trip ndio akaiachia yote na mimba juu.na angekuwa hataki kuzaa na huyo msela wake hiyo mimba angeipiga chini faster kabla mumewe hajarudi. Kwanza mimba yenyewekaipata mwezi mmoja tu tangu mumewe aondoke.
 
Jamani tuwe tu wawazi,mbona nyie wanaume huwa mnakua na nyumba ndogo na wake zenu wanaelewa na mpaka mnazaa nje ya ndoa na wanawake tunawasamehe? Kwa nini nyie mkifaniwa hivyo ndo maumivu yawe makali sana? Huyo mnamibia amsamehe tu mkewe na waendelee na maisha,maana yeye ameshasamehewa mangapi na mkewe?
 
kaka kwa style yangu. Tabia haina dawa. acha aende zake tu maana ikitokea umeenda tena marekani ya kaskazini kusoma hata kwa mwezi utarudi tena na atapata a similar story na wakati huu itakuwa hivi - tulienda beach party nikapewa cocktail baadae sikujua kilichoendelea manake nilijikuta beach nikiwa na bikini tu. Haingii kichwani. Achan a nae
 
Back
Top Bottom