Alisafiri kamkuta mkewe ana mimba ya mtu mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alisafiri kamkuta mkewe ana mimba ya mtu mwingine

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by uporoto01, Apr 4, 2009.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna Mnamibia tulikuwa nae kwenye kozi ya miezi 6 America ya kusini baada ya kurudi nyumbani kanipigia simu mkewe ana mimba ya mtu mwingine ya miezi 5.Jamaa kachanganyikiwa anadai mkewe alitoka na rafiki zake wa kike wakaenda disco kitu ambacho alikuwa anafanya mara moja moja hata mumewe akiwepo[ladies nightout].Siku hiyo wenzake walikuwa wakicheza akaja mwanaume aliyeonekana msaarabu na kuomba kukaa naye,baada ya maongezi ya kawaida jamaa akaamka kufata kinywaji na kuomba kumletea na yeye.Baada ya kunywa kinywaji hakumbuki kilichotokea akajikuta kwenye chumba cha hoteli akiwa uchi asubuhi ya pili huku akiwa peke yake.Aliporudi nyumbani na kuwapigia simu rafiki zake wakamwambia hata wao walishangaa alivyoondoka gafla wakadhani hakujisikia vizuri na kurudi nyumbani.Alipima ukimwi na kujikuta salama lakini kuhusu mimba alitaka mumewe arudi waamue la kufanya.Hajaripoti polisi kwakuwa hamjui jamaa aliyembaka.
  Rafiki yangu anadai anampenda sana mkewe na angeweza kutoa mimba bila ya yeye kujua na muda pia ungeruhusu.Yuko njia panda kuhusu kulea mtoto wa mtu huko wenyewe hawana mtoto.Nimshaurije?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  haya kupenda penda ofa......kama ni mie nampiga chini mwanamke huyo.......
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Me too
   
 4. K

  Kesban Member

  #4
  Apr 4, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 3
  Wasameheane, amlee km wake. Mi sioni taabu
   
 5. senator

  senator JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah! hiyo ni hard time kwa jamaa wa Namibia..unajua kuna ule msemo wa Ukipenda Boga upende na UA lake lakin hapo kwa mshikaji sivyo kabisa mana Ua ndo linakuja katika Boga alilolipata na kulineemesha mpaka kufikia hapo then kidudu mtu mwingine anakuja kupandikiza Magugu katika Boga hilo na kusababisha kupata UA haramu ...Na mshauri mdau avumilie tu kumtumza my wife wake mpaka atakapototoa then aangalie ustaarabu mwingine mbele(unaweza kukizima kitoto kikiwa kichanga kupoteza mbegu haramu hiyo)!!!..abortion hapo ishakuwa late...
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..:D dah, haki ya mungu, Men are smart but women are smarter!!!

  Come one guys! :D ha ha haaaa... haiingii akilini kabisa!

  1. Haikuwa mara yake ya kwanza kutembea (sex) na huyo "stranger"!

  2. Muda wote huo aliokuwa amekaa na kunywa na huyo stranger, am sure rafiki zake waliwaona na kukaa nao... dont tell me ilikuwa kufumba na kufumbua! kwani hakuna muzik mrefu hivyo jamani hee!?

  3. Marafiki zake walijua/waliona akiondoka na huyo jamaa, kwani wanamfahamu pia! ...haiwezekani ladies out halafu mwenzao aondoke na stranger bila wao kujua.

  4. hiyo ya kujikuta uchi hotelini ni katika kupigia msitari tendo lake

  5. huyo mwanaume anataka uthibitisho gani kuwa nia ya mkewe ni kuzaa na huyo mwanaume "stranger"? duuuh,...mijitu mingine mibwege hasa!
  dont buy that crap eti anamsubiri mumewe aamue!

  ...anyway, kama jamaa anampenda sana mkewe kama anavyodai, (na labda yu infertile) mkewe anaye Mr Right-loverman-Sperm-donor na kaamua kuzaa naye. Akitaka alee, asipotaka aishie zake. Mwanamke keshaajiamulia huyo.

  Wanawake, acheni wende zao nyie,...unafikiria hili wao wapo hatua moja mbele...!
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280
  Siku hizi umeingia mchezo unaofanywa na mafisadi wa ngono. Wanaweza kukuwekea kitu ndani ya kinywaji chako na hakibadiliki rangi wala ladha kwa hiyo si rahisi kugundua hata kama unakunywa kwa glass basi unakuwa unapoteza fahamu kabisa na wanaweza kufanya lolote lile watakalo na kesho yake huna kumbukumbu ya nini kilichotokea. Hivyo ni muhimu sana kuchunga vinywaji vyenu mahali popote kwenye kadamnasi. Hii ilitokea sana Marekani na kuna wanaume wengi walifungwa vifungo vya muda mrefu na miaka ya karibuni matukio kama hayo yamepungua sana.
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nadhani unazungumzia Rohypnol, aka Date Rape Pill, aka Drop pill... nawashauri kwa msisitizo mkubwa kina dada kusoma hii link hapa chini;

  [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Date_rape_drug]Date rape drug - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]​
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280

  Kuna baadhi ya TV channels zikiwemo za NBC, CBS na ABC zilifuatilia sana ufisadi huu na wanaume hao walikuwa wanawatarget wanawake wazuri mno na wengi baada ya kuwekea hiyo pili walikuwa hawakumbuki lolote lile na wengine walidanganywa kama kuna party katika nyumba ya jamaa wanayemfahamu wanachokumbuka walipofika kwenye party walikuta nyumba imepambwa kama kweli kuna party lakini hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya mwenye nyumba na victim wake. Wengi waliuliza wako wapi waalikwa wengine? Na hao mafisadi wakadai watafika wakati wowote. Na kisha kumkaribisha mgeni kinywaji na baada ya muda kuanza uharamia wao.
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wanajitakia tu hao, ushahidi wote huo katika zama hizi za DNA halafu mwanamke anashindwa kumshitaki mtuhumiwa?

  eti utasikia wanawake wengine wanaona haya kushitaki, matokeo yake ndio hayo, Mimba, HIV, STD, low self-esteem nk...
   
 11. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Deep down his heart anao uamuzi tayari, aufuate. Katika suala gumu kama hilo ushauri hausaidii sana kutoka kwa watu, hata kama ni kweli mama huyo alibakwa au la. Mtoto huyo ana haki ya kuishi, kama siyo na baba huyo basi alelewe na mama yake. Ila chonde chonde, kama anaona hawezi kuishi na mtoto huyo amuondoe mapema na mama yake kuliko aje kukaa naye halafu siku akija kukosa mtoto anampiga kama ngoma, kwa kumlipizia baba yake wa damu ambaye may be hajulikani.
   
 12. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa yako inabidi hausikilize moyo wake,kama kweli anampenda huyu mkewe basi waendelee na maisha kama kawaida.Na hii iwe fundisho kwa mkewe tabia ya kutoka kwenda kwenye kumbi za starehe bila ya kuwa na mumewe na kuwa mkarimu kwa watu ambao hawafahamu. Kiumbe ambacho kipo tumboni sioni sababu ya kukiondolea uhai wake manake hakina kosa lolote lile.
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Huoni taabu demu wako kakanyagwa kwa kisingizio cha kipuuzi ahalalishe uharamia wake?

  ampige chini wapo wengi wasiopenda kunywa vya watu.....wewe umekutana club na mtu humjui anaku ofa drink nawewe unarukia rukia.....ndio maana mnaitwa vicheche thanks mwanaFA
   
 14. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mwanamke huyo hana adabu. Lakini ipo chance ya kusamehewa maana ulimfunza mwenyewe kwenda maut aina hiyo.
   
 15. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Huyu mtoto atakayezaliwa je atapata mapenzi ya kweli toka kwa hawa wanandoa?
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bila shaka (toka kwa mama.) Kuna siri kubwa sana kwa kina mama, hasa linapokuja suala la mimba, mtoto/watoto na biological dads,...

  Unalea mimba, unatoa jina, unalea mtoto na kusomesha... siku ya siku unakujaambiwa, "kwanza mtoto mwenyewe umesaidiwa!", ...nawe chini puuuu! ~roho hiyoooo inaacha mwili!~
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kitanda hakizai haramu!!!!
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ...(na labda yu infertile) mkewe anaye Mr Right-loverman-Sperm-donor na kaamua kuzaa naye....Jamaa hana tatizo la afya na waliamua kusubiri miaka 3-4 kabla ya kupata mtoto na walikuwa wanatumia kinga.Pia tulipokuwa Chile sisi wengine tulikuwa tunagawana umasikini na vidosho wa huko siku moja moja lakini yeye alikuwa hataki.Namuonea huruma alivojitunza na yaliompata aliporudi Namibia.Ndoa yao ina miaka 2.
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...poleni sana, ukweli ndio huo japo unauma.
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Apr 6, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh it could happen to you too au kwa vile ninyi hamzibebi hizo mimba?. Hakupenda na inaonekana kabisa alitiliwa vitu katika hicho kinywaji. Kwa vile si kwamba alitoka bila idhini ya mumewe hajafanya kosa hapo.

  Kosa lake la 1: Kukubali kinywaji toka kwa mtu asiyemfahamu vizuri. (Ila angejuaje kama hana nia nzuri naye?)

  Kosa la 2: Kuwa honest sana kwa yeye kumsubiri mumewe aje waamue hatima ya mimba hiyo. Angeweza kabisa kuitoa na kisha kuuchuna na kuplay yirgin mary mumewe akirudi. BUT alikuwa mwaminifu and I give her 5 for that what if angeamua aitoe mwenyewe bila kusema je angekufa katikati ya hilo zoezi? wewe kama mumewe ungesemaje baada ya kujua ukweli ( hasa kuwa alileweshwa kwa dawa za kulevya tuseme) na kubakwa?
   
Loading...