Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Jun 10, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga

  [​IMG]

  Mwanzoni alikuwa msichana mrembo wa kuvutia akishiriki kwenye maonyesho ya mavazi lakini alikuwa anapendelea zaidi wanawake kuliko wanaume, alibadilisha jinsia amekuwa mwanaume sasa lakini cha ajabu sasa amekuwa shoga anapenda wanaume. Pichani Adrian kabla hajabadilisha jinsia kuwa mwanaume.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hiyo sasa laana.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh..huyu atakuwa ana pepo i mean mapepo kama 7 ivi ...aaarggh
   
 4. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Aaaaagh!
   
 5. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu sasa, ana matatizo atubu mapema,
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Shauri zao bwana, na haya mabaradhuri yanafanya kwa kasi ya ajabu promotion ya USHOGA yaani uonekana kama its another way of life, angalia sinema KISS THE BRIDE, 18 STILL VIRGIN yaani ni ubaradhuri kwa kwenda mbele. Sasa movie kama hizi na za uvutaji wa ndumu watoto wetu watapona kweli?
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana ni muhimu siku hizi kuwa elimisha watoto mapema kuhusu matatizo mbali mbali ya kidunia. Hata usipo kuwa nao direct mwanzo lakini lazima utumie ustadi kuwa fundisha kipi kizuri na kipi kibaya.
   
Loading...