Alipo Dk Slaa na hatma yake kisiasa

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Wandugu, aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbroad Slaa ni kama amefikia siasa za ukingoni.

Kwanza kabisa, yupo nje na chama cha siasa, hana mvuto, hana nguvu na ushawishi.

Dk huyu so yule tuliyemzoea na cheche zake kwenye majukwaa na kipingi kile akiwa Mbunge.

Mwenye kujua alipo huyu Daktari na mipango yake kisiasa.......
 
Huyo Naye Kwenye Mchezo Wa Karata Tunamuita Galasa Yaani Siyo Mali Labda Sijui Albastini (Aende Ccm) Walikomtumia Mpaka Kuikimbia Nchi
 
Kama Lipumba amerudi CUF hapana shaka Slaa nae atarud CDM.

Ushauri
" Akiba ya maneno"
 
Back
Top Bottom