Alipendwa sana Duniani.Taja Jina lake na Wasifu wake kwa kifupi.

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
SPECIAL IMAGE2.jpeg
 
Hayati princess Diana, waingereza walimuua wenyewe because at the time of death alikua na mimba ya yule mwarabu na waingereza hawakutaka damu ya kiarÀbu iingie kwenye familia ya kifalme!
 
Hayati princess Diana, waingereza walimuua wenyewe because at the time of death alikua na mimba ya yule mwarabu na waingereza hawakutaka damu ya kiarÀbu iingie kwenye familia ya kifalme!
Kweli kabisa donlucchese huyo ni princess Diana.Lakini hiyo ya mimba ya sijui Dodi na nini, ni maconspiracy theories tu.
 
Last edited by a moderator:
alikuwa na mpango wa kushiriki katika harakati za kupambana na makali ya AIDS nchi za kusini mwa afrika na alifanikiwa kukutana na Tata Madiba kuongelea hilo, alifariki kabla hajaanza, miaka mitano baada ya kifo chake Mandela alitembelea kaburi lake.
tumblr_mp8c9okQ7q1qj2sh9o1_500.jpg download.jpg
 
Mama Indrah Ghandi......
Asante sana Sikonge, umenikumbusha kitu kinachozungumzwa chinichini ambacho mimi binafsi ntakifanyia uchunguzi. Kuna watu wanauliza kwa nini Lady Diana ana sura inayoelekea uhindini? Umepata kuisikia hiyo?
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom