Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

mwingine akimzungumzia inzaghi-Look, he can't play football at all, he just knows how to get in the right place" – Johan Cruyff
 
I wish i can play along with Messi and c.Ronaldo in Milan, and showing them how to score!.......Pipo Philipo Inzaghi
 
"Nilichagua Simba kwa mapenzi yangu...ni kweli kulikuwa na kiongozi wa Yanga walikuwa Kigali kwa ajili ya kunisajili lakini nikaamua nibaki na hii kwa kuwa tayari Simba iko na faranga mingi"- Mbuyu Twite
 
"Tumeshaongea na Mwenyekiti wetu Manji na kimsingi tumekubaliana,Yanga itafunga usajili kwa habari ya kushtukiza sana,kuna mchezaji tutamsajili watu hawataamini,wapo watakaozimia na wapo watakaoingia kwenye siku zao kabla ya wakati" Mzee Akilimali akinukuliwa na gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya wiki.
 
Labda wamsajili Messi ndo itakuwa habari ya kustukiza. Quote nzuri tho
 
"he, ronaldo, is a special case" - filipe scolari, aliyekuwa kocha wa brazil alipojibu tuhumza za upendelao wa kumsubiria ronaldo wa ukweli apone ili amuweke kwenye kikosi cha samba boys ilhali hatawasubiria wachezaji wengine!
 
"for me, ronaldo is football" - gabriel batistuta #ronaldowaukweli #ronaldonasariolima
 
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake
 
"nilikuwa nikiimba dua, dua said na kweli dua anapachika bao hapa" - mtangazaji wa mpira enzi hizo

"mpira ni kama baisikeli kama unajua unajua tu" - hamis tobiath gaga 'gagarino'

"players come, players go - it is time for ronaldinho to move on" - coach companero
 
"nilikuwa nikiimba dua, dua said na dua anapachika bao hapa" - mtangazaji wa mpira enzi hizi

"mpira ni kama baisikeli kama unajua unajua tu" - hamis tobiath gaga 'gagarino'

"players come, players go - it is time for ronaldinho to move on" - coach companero

Kwi kwi kwi kwi hilo la mwisho ni dongo kwa mtoa mada msubiri aje.
Hivi ugomvi wenu haujaisha tu?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom