Aliondoka bila kuniaga na kuniacha na mimba na amerudi bila hata kunijulisha. Je, nimtafute?

Wakat zaman nilikua kapuku kbsa nilidate na mtoto mmoja kwao walikua kidgo nafuu,ila aliniambia leo mm na ww mwsho maana nmepata muhind nataka nimzalie kbsa maana anapenda watto chotara,nikamwambia sawa,kapuku mm nikasepa dar kutafuta maisha,akazaa kwel watto mapacha,watto walipofikisha miaka mitatu wakahama familia yao yte kurud kwao,akabak analea mwnyewe,wazaz wao nao mambo yakawageuka wakawa nao maisha magum,wale watoto masikin wamepauka sana mpk wanatia huruma,kila nikienda home lazima aje kunisalim na anasema kiukwel bora ningezaa na ww kipind kile maana naona unaambo saf sasa hiv,,lakin jib langu hua moja tu,hukunipemda km nilivyokupenda maana mm nisingeweza kukupa watto chotara,umewataka umewapata ss mm wa nn tena? Kwel hua mnatiaga huruma sana,ila komaa na mwenzako tu halaf mtu km ww kuolewa unaletaga shida sana ktk ndoa. Sbu hua mnaangalia nje kimuonekano zaid kuliko uhalisia wa maisha halis ya mwanaume kwa ndani..
 
mpeleke Kwa mzee wa call me J atakusaidia Kwa ajili ya matunzo ya mtoto sio hapa
 
Nimezaa na kaka mmoja (Muhindi) mwanzo nilipata amani kabla sijazaa nikiwa na mimba ya miezi 8 ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpaka mtoto.

Nikasikia amerudi hajanitafuta mpaka kaondoka tena na sasa hivi amerudi na mwanangu ana mwaka na miezi 2 hivi nimfuate au niachane naye tu.
Achana naye itaonekana unafuatilia uume.Anzisha yako.
 
Back
Top Bottom