Alinipenda mwanzo na sasa hanipendi tena

M

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
1,218
Points
2,000
M

Maelau

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
1,218 2,000
Ni mwanamume yeye alinipenda sana .
Huyu kijana alinipenda sana mpaka nikajiona nina nafasi yakuwa mke wake.
Ila shidani hii hakutaka kufanya sex na mimi huwa najiuliza kwanini .
Ila anasema hadi ndoa .
Kwa kiu zangu nikachapiwa na shemeji mapenzi ya liwaka moto hadi mke wake anadai uko na nani umebadilika anawekwa vikao na kuulizwa humridhishi mke wetu vyema yule kaka kimya ila macho ya kiuchokozi kwangu hayaishi.

BAADA YA KIKAO
Nililala kwa huby mtarajiwa ila hiyo siku haikupendeza why namshika kwa mahaba yote fimbo haisimami nikaona kalala usingizi mzito hapendagi kelele nikamuwashia redio akaamka na mzuka nilionao wala joogoo haiwiki what the ,,, sasa nikaonelea niage kama utani kutoka tu kumbe shemeji anamadai yeye haendi kwake anaangalia mpira nami nikadai hivyo kijana akadai anaenda kulala.
BAADA YA MADAKIKA
Shemeji kula oh babe shemeji kula oh nalaaa kumbe anatuona tunavyobadilishana styles .
Mpaka kumi nanusu nikaona nikaoge nilale.
Asubuhi ilipofika akaniita akaniambia nenda kwenu napia nitakuja kukuambia kitu.

BAADA YA MIEZI KADHAA
Wee dunia sasa hadaa walimwengu dah ni mashujaaa.
Shem akanifuata the next day tulichapana mpaka akasema kuwa second wife basi nikadai babe wangu bado hajaniacha ila kasanuka babe wangu hajali babe wangu hawezi kuniacha.
Basi wao nikaonelea kuwa ni muulize kulikoni shemeji akadai hawezagi kuna demu alimfunga ndio maana .
Ananiambiaga nijage kwako naanajua huu mchezo wote.
Nikasema what 🙄🙄 sasa nikawaza if is a fucking guy kwanini hakunisanua tu ish nilikasirika kama nini.

TALKING DAY
Hello babe helllo nikamkiss kidogo nikamweleza yote mwanzo mwisho nikadai kuwa angenitaarifu hili jambo.
Eti akanuna till now sasa ni shaurini nifanyaje ??
Ili hali anataka nisex na shem nikihitaji hilo suala hata nikiolewa mambo ndio hivyo.
Kuna sex toys atumie eti haifai unahitajika real thing inorder to do a thing.
Sasa umeandika nini, mbona havieleweki? Hivi wewe umesoma shule kweli?
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
6,707
Points
2,000
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
6,707 2,000
Ufupisho kwa ambao hamjaelewa:

Katoto kapata Bwana, yeye hataki kula mzigo mpaka ndoa. Baada ya kuzidiwa na genye, Katoto akampa shemeji ampunguzie mzigo.

Siku moja wakalala Katoto na bwana wake. Kamshika shika kama ishara ya kuhitaji huduma, jogoo la jamaa limelala tu bila ya kujua huu ni muda wa kuwika.

Katoto akaenda kuliwa na shemeji yake hapo hapo huku jamaa anashuhudia. Shemeji ndiyo akamuelezea kuwa jamaa hasimamishi kwa madai kuwa kuna demu alimuendea kwa Sangoma.

Siku jamaa akataka mazungumzo na katoto. Baada ya kumkiss kwa kiherehere Katoto akaropoka yale aliyoambiwa na Shemeji yake. Jamaa ndiyo akakasirika na kuanzia hapo hampendi Katoto.

HITIMISHO: Hii ni chai ambayo hata muandishi mwenyewe kashindwa kuelewa kaandaaje.
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
2,099
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
2,099 2,000
Ukiona watu wanacomment kibangibangi kwenye thread yako usipost thread nyingine mpaka utakapohitimu masomo ya ziada ya jinsi ya kuandika
 

Forum statistics

Threads 1,342,645
Members 514,741
Posts 32,758,629
Top