Alinipenda mwanzo na sasa hanipendi tena

katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,427
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,427 2,000
Ufupisho kwa ambao hamjaelewa:

Katoto kapata Bwana, yeye hataki kula mzigo mpaka ndoa. Baada ya kuzidiwa na genye, Katoto akampa shemeji ampunguzie mzigo.

Siku moja wakalala Katoto na bwana wake. Kamshika shika kama ishara ya kuhitaji huduka, jogoo la jamaa limelaka tu bila ya kujua huu ni muda wa kuwika.

Katoto akaenda kuliwa na shemeji yake hapo hapo huku jamaa anashuhudia. Shemeji ndiyo akamuelezea kuwa jamaa hasimamishi kwa madai kuwa kuna demu alimuendea kwa Sangoma.

Siku jamaa akataka mazungumzo na katoto. Baada ya kumkiss kwa kiherehere Katoto akaropoka yale aliyoambiwa na Shemeji yake. Jamaa ndiyi akakasirika na kuanzia hapo hampendi Katoto.

HITIMISHO: Hii ni chai ambayo hata muandishi mwenyewe kashindwa kuelewa kaandaaje.
Asante kwa kuwasilisha
 
chisluk

chisluk

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
337
Points
500
chisluk

chisluk

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2016
337 500
Ufupisho kwa ambao hamjaelewa:

Katoto kapata Bwana, yeye hataki kula mzigo mpaka ndoa. Baada ya kuzidiwa na genye, Katoto akampa shemeji ampunguzie mzigo.

Siku moja wakalala Katoto na bwana wake. Kamshika shika kama ishara ya kuhitaji huduma, jogoo la jamaa limelala tu bila ya kujua huu ni muda wa kuwika.

Katoto akaenda kuliwa na shemeji yake hapo hapo huku jamaa anashuhudia. Shemeji ndiyo akamuelezea kuwa jamaa hasimamishi kwa madai kuwa kuna demu alimuendea kwa Sangoma.

Siku jamaa akataka mazungumzo na katoto. Baada ya kumkiss kwa kiherehere Katoto akaropoka yale aliyoambiwa na Shemeji yake. Jamaa ndiyo akakasirika na kuanzia hapo hampendi Katoto.

HITIMISHO: Hii ni chai ambayo hata muandishi mwenyewe kashindwa kuelewa kaandaaje.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
aisee mkuu umenifanya nicheke kwa sauti sana hasa hapo kwenye hitimisho
 
N

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Messages
647
Points
500
N

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2017
647 500
nimesoma yote lakini mwandishi haeleweki anataka kusema kitu gani....naona ny...ege zinzmsumbua
 
Forum statistics

Threads 1,342,658
Members 514,746
Posts 32,758,976
Top