Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Leo anaokoka,kesho kwa Mganga;mara kaoa mara divircod,mara single...Nimemkumbuka @gilesi.
BUujibuji wewe ni mnyamanyafu wa Kiwira toka lini umeokoka
Mara mfanyabiashara,mara mkulima mara hivi.Inshort anatufurahisha na tunampenda hivo hivo...ila usijipinde kutoa ushauri mwenzio mtunzi tu.