Alikuwa kipenzi cha wananchi wake.

omben

JF-Expert Member
May 30, 2012
812
449
Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli
 
Attachments

  • 1386150515759.jpg
    1386150515759.jpg
    67 KB · Views: 273
Haji kutokea mwingine kama huyu. Maana aliacha gari akaamua kutembelea baiskeli
Alikua hapendi makuu kiasi hata hakujifunza kuendesha gari. Halafu sikumbuki kama jkn aliwahi kua na motokari yake binafsi.
 
Back
Top Bottom