Uchaguzi 2020 Alikuwa akisoma comments za Twitter akajua kwamba ameshakuwa Rais, amechanganyikiwa

Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.

Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.

Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.
Hizo barabara zote alizopita zilijengwa kabla ya awamu ya 5 kwa kodi zetu, hebu eleza barabara ipi imeanzishwa na awamu ya 5 hafu imekalimika kwasasa
 
Hata makaburu walijenga miundombinu zaidi ya hii but still Watu walikuwa wanamtaka mandela
Huyo huyo ndio amefanya makaburu wajione wenye nchi kuliko hao weusi. Miji iliyoendelea utawakuta weupe.
 
Uchaguzi uwe huru haki ninadhani majibu mutayapata...,kuna watu watajiondoa humu jamii forum kwa aibuuu .
 
Hizo barabara zote alizopita zilijengwa kabla ya awamu ya 5 kwa kodi zetu, hebu eleza barabara ipi imeanzishwa na awamu ya 5 hafu imekalimika kwasasa
Zipo nyingi..bahati nzuri anayetembea ni lissu basi ataona. We hata nikikuambia hutaelewa na hutaona.
 
Ww ndio umelinganisha, mm nimekupa history tu kuwa hata makaburu walifanya maendeleo makubwa but still wanainchi waliwakataa, basi delete Mandela weka wanainchi waliwakataa
Yaani tambua kuwa Wazulu/natives walitaka kujitawala na si kuendelea kubakia ktk utawala wa wahamiaji (makaburu). Tanzania Magufuli ni Mtanzania halisi how can you compare him with South Africa's case. Muwe mnajitafakari kabla kuandika upuuzi wenu.

Upinzani mnaotoa kwa Magu tulifikiri ni wa hoja za msingi kwa maendeleo ya nchi kumbe inaonesha ni njaa tu na chuki binafsi.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Ni kweli maana Lissu aliondoka kwa miguu akipita kwenye majani Tanzania kwenda Kutibiwa Kenya Kisha Uberigiji mwaka 1618 wakati huo hakukua na barabara hata moja,Wala Daraja Wala umeme,amerudi Tanzania 2020 na kukuta Raisi pekee wa Tanzania Ni Magufuli na ndio lijenga hiyo miundombinu.
 
Yaani tambua kuwa Wazulu/natives walitaka kujitawala na si kuendelea kubakia ktk utawala wa wahamiaji (makaburu). Tanzania Magufuli ni Mtanzania halisi how can you compare him with South Africa's case. Muwe mnajitafakari kabla kuandika upuuzi wenu.

Upinzani mnaotoa kwa Magu tulifikiri ni wa hoja za msingi kwa maendeleo ya nchi kumbe inaonesha ni njaa tu na chuki binafsi.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Hata ambao wanasupport upinzani nao wanaona kama hawako huru so wanataka uhuru wao 28 October so tuheshim mawazo ya watu....

Kuna watu Walitaka makaburu waendelee kuwepo kama ww unavyotaka utawala huu uendelee kuwepo but Kuna wengine wako tofauti....
 
Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.

Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.

Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.

Kama hizi:

IMG_20200808_071612_486.jpg

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

?

Au kwa demokrasia iliyoshamiri?

Tunajua tungekuwa shwari kama jiwe angekuwa:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Tunajua kama jiwe akikumbatia angalau matano haya ataungwa mkono na wengi zaidi kama si wote?

Tunajua kwanini jiwe anachukiwa na wanaomchukia?
 
Attachments

  • Screenshot_20200808-072008.png
    Screenshot_20200808-072008.png
    325.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200808-071544.png
    Screenshot_20200808-071544.png
    284.4 KB · Views: 1
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Kwa hiyo hawa wanao mpokea hivi kaja nao toka Ubeligiji? Kwamba hiyo miundo mbinu hawajawahi kuiona? Mbona una akili kama za Mbasha?

Njaa mbaya sana yaani buku 7000 tu ndio inayo kufanya ujitoe ufahamu !?
 
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Chadema wanakuja kipinga hii thread
 
Huyu msingida alijichanganya huwezi kumtukana mtu anajenga miundombinu, hospital, vyanzo vya nishati, ana zuia wizi wa madini nk halafu wananchi wakakuelewa. Na aombe Mungu wananchi waendelee kuwa wavumilivu juu ya upuuzi anaoongea kuhusu Magufuli maana hawataishia kuikacha mikutano yake wanaweza anza kumpopoa na mawe
 
Lilikuwa ni jukumu lake kufanya, yani hapo ni sawa na kuisifia ATM kwa kukupa pesa zako mwenyewe
 
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
IMG_20200816_151559_444.jpg

Amerudi sasa! Kajinyonge!
 
Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.

Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.

Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.
Hivi kujenga barabara,umene vijijini,zahanati si kazi ya serikali?sasa nini cha ajabu hapo?
Hebu ongelea
1,Hali ya maisha ya watu nchini
2,Kilimo mazao ya biashara
3,Hali za Wafanyakazi
4,Wakulima
5,Wafanyabiashara
6,Afya
7,Quality ya elimu bure
 
Mliaminishwa kua upinza umekufa mkaenda kulala usingizi wa pono mmekurupuka huku mmekuta Mambo ni tofauti mmechanganyikiwa hata hamjui muanzie wapi tena maskini..Jana mkakusanya wasanii nchi nzima mkijua mtapata Kiki katokea jamaa wa clous kamlamba mtu mtama kabeba point zote
 
Back
Top Bottom