Sawa bwabwa...endelea kubutuliwa hapo uwanja wa uhuruWewe ndo chupi kweli endelea na huyo lisu tutakutana october ndo utajua maana ya chama dola.
Sawa bwabwa...endelea kubutuliwa hapo uwanja wa uhuruWewe ndo chupi kweli endelea na huyo lisu tutakutana october ndo utajua maana ya chama dola.
Hizo barabara zote alizopita zilijengwa kabla ya awamu ya 5 kwa kodi zetu, hebu eleza barabara ipi imeanzishwa na awamu ya 5 hafu imekalimika kwasasaUzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.
Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.
Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.
Huyo huyo ndio amefanya makaburu wajione wenye nchi kuliko hao weusi. Miji iliyoendelea utawakuta weupe.Hata makaburu walijenga miundombinu zaidi ya hii but still Watu walikuwa wanamtaka mandela
Zipo nyingi..bahati nzuri anayetembea ni lissu basi ataona. We hata nikikuambia hutaelewa na hutaona.Hizo barabara zote alizopita zilijengwa kabla ya awamu ya 5 kwa kodi zetu, hebu eleza barabara ipi imeanzishwa na awamu ya 5 hafu imekalimika kwasasa
We taja acha ubabaishajiZipo nyingi..bahati nzuri anayetembea ni lissu basi ataona. We hata nikikuambia hutaelewa na hutaona.
Ukweli ni huu chadema hamshindiLissu anawaumiza kichwa sana! Hamkutegemea kama atatua nchini sasa mnalia lia tu!
Subiri mnyooshwe! Kwani wale waburudishaji wa jana uhuru mmetathimini watawasaidia kwa kiasi gani?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Yaani tambua kuwa Wazulu/natives walitaka kujitawala na si kuendelea kubakia ktk utawala wa wahamiaji (makaburu). Tanzania Magufuli ni Mtanzania halisi how can you compare him with South Africa's case. Muwe mnajitafakari kabla kuandika upuuzi wenu.Ww ndio umelinganisha, mm nimekupa history tu kuwa hata makaburu walifanya maendeleo makubwa but still wanainchi waliwakataa, basi delete Mandela weka wanainchi waliwakataa
Ni kweli maana Lissu aliondoka kwa miguu akipita kwenye majani Tanzania kwenda Kutibiwa Kenya Kisha Uberigiji mwaka 1618 wakati huo hakukua na barabara hata moja,Wala Daraja Wala umeme,amerudi Tanzania 2020 na kukuta Raisi pekee wa Tanzania Ni Magufuli na ndio lijenga hiyo miundombinu.Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.
Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.
Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Yaani tambua kuwa Wazulu/natives walitaka kujitawala na si kuendelea kubakia ktk utawala wa wahamiaji (makaburu). Tanzania Magufuli ni Mtanzania halisi how can you compare him with South Africa's case. Muwe mnajitafakari kabla kuandika upuuzi wenu.
Upinzani mnaotoa kwa Magu tulifikiri ni wa hoja za msingi kwa maendeleo ya nchi kumbe inaonesha ni njaa tu na chuki binafsi.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.
Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.
Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.
Kwa hiyo hawa wanao mpokea hivi kaja nao toka Ubeligiji? Kwamba hiyo miundo mbinu hawajawahi kuiona? Mbona una akili kama za Mbasha?Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.
Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.
Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Hiyo ni barabara na inapitika. Kwani kuna nchi isiyo na barabara ya vumbi?Kama hizi:
View attachment 1539006
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
?
Au kwa demokrasia iliyoshamiri?
Tunajua tungekuwa shwari kama jiwe angekuwa:
View attachment 1539000
Tunajua kama jiwe akikumbatia angalau matano haya ataungwa mkono na wengi zaidi kama si wote?
Tunajua kwanini jiwe anachukiwa na wanaomchukia?
Chadema wanakuja kipinga hii threadTundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.
Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.
Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Huyu msingida alijichanganya huwezi kumtukana mtu anajenga miundombinu, hospital, vyanzo vya nishati, ana zuia wizi wa madini nk halafu wananchi wakakuelewa. Na aombe Mungu wananchi waendelee kuwa wavumilivu juu ya upuuzi anaoongea kuhusu Magufuli maana hawataishia kuikacha mikutano yake wanaweza anza kumpopoa na mawe
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.
Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.
Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
Hivi kujenga barabara,umene vijijini,zahanati si kazi ya serikali?sasa nini cha ajabu hapo?Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.