Uchaguzi 2020 Alikuwa akisoma comments za Twitter akajua kwamba ameshakuwa Rais, amechanganyikiwa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,385
3,894
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
 
Mwacheni JPM awe JPM, Hapa kazi tu!

1597566003412.png

1597566033644.png
 
Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.

Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.

Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.
 
Online polls

Hata makaburu walijenga miundombinu zaidi ya hii but still Watu walikuwa wanamtaka mandela
 
Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.

Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.

Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.

Sisi tunataka uchaguzi huru, msilete mambo yenu ya kukatwa mtu yoyote
 
Mataga mna kazi sana kwa kweli, hamuwezi kusimamisha mafuriko kwa mkono, inabidi mpandishiwe kutoka buku7 mpaka 20 maana mnapata tabu sana kuwaaminisha watanzania kuwa shetani ni Mungu, hatudanganyiki
Hahahaaa hivi hili neno "mataga" maana take nini?
 
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.

Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.

Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.

Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.

Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.
hii nchi bado wananchi wake ni masikini sana we endelea kupata mkate wako wa siku
 
Wana ILULA maji shida
Hiyo kusema Miundombinu kila pahala ni UONGO.

Naamini maeneo kadha wakadha yana SHIDA YA MAJI.
Tembea ujionee sio kudanganya kwa maslai binafsi.
 
Back
Top Bottom