pamoja na Diamond kuwa ana ng'aa sana kwa sasa katika tasnia ya bongoflaver na kuvaa umaarufu mkubwa hasa africa ya mashariki, lakini kwa mtazamo wangu ALIKIBA ni mwanamuziki bora kuliko hata diamond, huu ni mtazamo wangu sijui wadau mnaonaje?natia shaka kama diamond anaweza kuendelea kung'ara baada ya miaka miwili kuanzia sasa