Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Kwani kwaya zina shida gani? Au kwa sababu hujasikia nipake wese, kwa mpalange, sodoma, n.k
Washazoea nyimbo zao zinazohamasisha ungese . Nilikuwa namsikiliza Kiba kwenye moja ya interview nilipenda aliposema yeye huwa anatunga wimbo/nyimbo ambayo hata make mzazi ataweza kuisikiliza.

Sasa kwa kauli hiyo ukiona wewe humuelewi kiba maana yake akatafute mwanamuziki anayemuelewa atakayeimba nyimbo zao za kishenzi.
 
Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.

Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.

Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.

Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!

When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.

Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.

Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.

Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
Wewe unajua muziki. Good analysis.
 
Huwezi kusikiliza nyimbo kutoka usafini ukiwa na wazazi au watoto, utabadilisha tu channel kama una akili timamu.
Washazoea nyimbo zao zinazohamasisha ungese . Nilikuwa namsikiliza Kiba kwenye moja ya interview nilipenda aliposema yeye huwa anatunga wimbo/nyimbo ambayo hata make mzazi ataweza kuisikiliza.

Sasa kwa kauli hiyo ukiona wewe humuelewi kiba maana yake akatafute mwanamuziki anayemuelewa atakayeimba nyimbo zao za kishenzi.
 
Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.

Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.

Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.

Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!

When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.

Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.

Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.

Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
Hiyo ya R Kelly itoe, ilikuwa ni project tu kama Coke studio na wakakutanishwa wanamuziki wengi wa Kiafrika na kwa Tanzania ndiyo alichaguliwa Kiba lakini unavyoielezea ni kama R Kelly na Kiba walikubalia wakaandaa wimbo wa pamoja. That shit never happened.
Hiyo collab ya Akon hebu weka link, sijawahi kuisikia au japo weka jina la wimbo niutafute mwenyewe isijekuwa unadanganya kama ulivyodanganya hiyo ya R Kelly.
 
Toka lini mondi akawa mwalim wa kiba ..afu acheni unafki wa kijinga mnataka aige anavyofanya mondi ili mje fungus uzi tena kua kiba kaishiwa anaanza kuiga..maana hata konde boy show zake za USA mnasema kamuiga mondi.yaani hamkosi kasoro
 
Kule usafini amebak Mbosso na zuchu tuu pamoja na boss wao anayejifia , wengine wote ni magarasa tupu
 
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.

Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.

Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na Mayorkoun honestly speaking
Una wivu wa kike
 
Toka lini mondi akawa mwalim wa kiba ..afu acheni unafki wa kijinga mnataka aige anavyofanya mondi ili mje fungus uzi tena kua kiba kaishiwa anaanza kuiga..maana hata konde boy show zake za USA mnasema kamuiga mondi.yaani hamkosi kasoro
Namkubali kondeboy ila kwenye kupost show huwa anapost ila ukifika wakati wa show hazifanyiki
 
HATERS tunamsubil huyo alikibamia wenu nae awe tagged kwenye tuzo za kimataifa tumkwamishe kwa kumuundia petitions kuhakikisha kuwa hatoboi hata afanye nn na akiamua akavae vijola vya mombasa na aimbe taharabu, lkn hatotoboa ng'ooo...eeeeh tutaonaa si mlkuwa mnaluka luka majukwaan kipindi cha uchaguz mkasahau kuwa hii dunia n ndogo sana,,haya sasa tutakamatana padogo...jamuhur ya twitter na viunga vyake tunamsubil,,tulishamalizana na yule mmasai wa BET now kibamia is the second target..then zuchu and finaly tutaanza na rayvan
 
Namkubali kondeboy ila kwenye kupost show huwa anapost ila ukifika wakati wa show hazifanyiki
Mwaka jana show ya uwanja uhuru juni 29 kairisha, akahaidi Nov 7 kupiga show uwanja wa uhuru kwa siku tatu akahairisha, Konde in da club mikoa zaidi 15 kapiga mkoa mmoja kwengine kahairisha, show Ethiopia mwezi wa tano kahairisha, sasa anatour ya ulaya huko nchi zaido ya ishirini na nchi tano za West Africa tunamsubiria labda hizi anaweza hasi ahirishe.
 
Back
Top Bottom