Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.

Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.

Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.

Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!

When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.

Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.

Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.

Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
 
sikutaka kuchangia, ila imenibidi tu niseme we jamaa una akili sana, una ufahamu wa unachokisema na sio mnafiki!
 
Mi ni Team Diamond wa kindakindaki kabisa kabisa yani kabiiiiiiiiiisa.

Ila we dogo, Ally Kiba ni zaidi ya mwanamuziki kwa sauti.

Sisi tunamshinda vitu vingi sana ila sio sauti aiseeh.
Na hii tumejikubalia.

Kuhusu kulinganisha na wimbo wa mwingine!

When it comes to music industry, jifunze kuchagua vitu fulani kwa mwanamuziki flan.
Ndo utainjoi Muziki mzuri.

Kitaalamu inaitwa Upekee wa Msanii.
Kila msanii ana taste yake.
Sasa itafute kwa Kiba, ukiipata utaelewa kwann pamoja na maudhi yake bado ana washabiki kama Arsenali ilivyo.

Kuhusu kuwa wa Kimataifa, unamjua R. Kelly?
Unamjua Akon?
Huyu jamaa aliimba nao, DURING their PRIME TIME.
sasa PRIME TIME ya Akon na ya R. Kelly kwa pamoja, sio za kitoto.

Basi tu ndo hivyo, ila kuhusu UKIMATAIFA, tulisomekapo duniani kabla ya Davido.
Huyo mleta mada hawez jua alikuwa bado kwao kijijin nyimbo anazisikilizia kwenye radio za mbao.

Si unaona bado anatumia TECNO anajiona mjanja
 
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake diamond platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila Cha ajabu ametutia aibu tu.

Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa akuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.

Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na mayorkoun honestly speaking

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Utakipata unachokitafta hivi karibuni we endelea kumwangia KIBA
 
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake diamond platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila Cha ajabu ametutia aibu tu.

Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa akuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.

Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na mayorkoun honestly speaking

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwani kwaya zina shida gani? Au kwa sababu hujasikia nipake wese, kwa mpalange, sodoma, n.k
 
Back
Top Bottom