I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,726
- 10,016
Aliepanga namna hiyo hakika mungu anamuona . Kaamua kuwakomoa tu.
Mnachezewa akili tu. Vyombo vyote mmiliki ni mmoja Jo KusagaUnaishi nchi gani mpaka ufahamu kuwa wcb wasafi kupitia mwanasheria wao wamepeleka barua clouds media kukataza wasirushe chochote kinachowahusu wao...
Anavaa kama Naeto C wa Nigeria
Ila bwana yooooo some time sijui anakwamaga wap kwenye kuvaa daaaah
Akili watachezewa wabongonyoso wasiojielewa.Mnachezewa akili tu. Vyombo vyote mmiliki ni mmoja Jo Kusaga
Angalia mavazi ya wasanii wa mbele kina kanye west hasa wakiwa katika hafla kubwa kubwaSizan kama kuna uingiliano kwenye kuvaa na kuwa na pesa unaweza kuwa na hela na usjue kuvaa kwaiyo tulia mkuu..nilicho kuwa namaaanisha kuhusu Ali n kwamba bwana Alli ni msanii mkubwa sana kuna time hatakiwi kujieka ivyo kawaida kawaida
Ila bwana yooooo some time sijui anakwamaga wap kwenye kuvaa daaaah
Alivyovaa Jana huku sema ! Kweli ubinadamu kazi
ok sawa mkuuNasty C ni msouth Africa huyu mwenye breachNaeto C ni mnajeria nayemzungumzia.Nadhan kaacha mziki maana babake ana hela kama kina davido au DJ cuppy.View attachment 1504596View attachment 1504601
Umemnyaba vizur Sana huyo pungaMhhh chochote kinacho wahusu wao??? Asa mbona matangazo ya peps na parmatch yanarushewa???
Hohehae wa nchi hii wataendelea kuwa hohehoe MILELE NA MILELE.
Na sasa taasisi na watu wanaojifanya wanajua KUWATETEA Tumewadhibiti KIKAMILIFU
Wanakuza MamboMbona siku zote wanaongea ni wewe tuu ndio unajua hawaongei
awa watu kwa picha ya kawaida ninavyoona awana ushkaji wala uadui kwa sasa ila mwanzo walikuwa na migogoro asa kilichopo kila mtu anajikuta juu zaid ya mwenzie anaogopa kuanza shoboWanakuza Mambo
Hao Mbona Ni Watu Wenye Maelewano
Hii Ni Kama Ile Issue Ya Muongoza Njia, Jasiri Na Poul Makonda