Alikiba, Harmonize na Diamond meza moja Ikulu

Una tatizo gani mkuu? Clouds wanaonyesha hii kitu laivu jana na leo ila diamond na team yake akiperform wanakata matangazo, ndio nilichomaanisha, sasa wewe una tatizo gani hapo? Ushaanza uchuro wako na huku
Unaishi nchi gani mpaka ufahamu kuwa wcb wasafi kupitia mwanasheria wao wamepeleka barua clouds media kukataza wasirushe chochote kinachowahusu wao...
 
Una tatizo gani mkuu? Clouds wanaonyesha hii kitu laivu jana na leo ila diamond na team yake akiperform wanakata matangazo, ndio nilichomaanisha, sasa wewe una tatizo gani hapo? Ushaanza uchuro wako na huku
Mkuu kama wanakata matangazo akipanda bwana almas na tim yake bax usiangalie clouds angalia hata chanel 10 chanel 5 star tv wasaf tv azam tv itv tbc x wote wanaonyesha kwan lazma uangalie clouds mkuu
 
Ila bwana yooooo some time sijui anakwamaga wap kwenye kuvaa daaaah
Siku zote watoto wa uswaz ujaga kujua code za mavazi na kuoga ukubwani hasa wakiwa na uwezo ila watoto wa city center ile town kabisa wakishua mavazi kwao sio big deal jaribu kuchunguza walio wengi
 
Hohehae wa nchi hii wataendelea kuwa hohehoe MILELE NA MILELE.

Na sasa taasisi na watu wanaojifanya wanajua KUWATETEA Tumewadhibiti KIKAMILIFU
 
Sizan kama kuna uingiliano kwenye kuvaa na kuwa na pesa unaweza kuwa na hela na usjue kuvaa kwaiyo tulia mkuu..nilicho kuwa namaaanisha kuhusu Ali n kwamba bwana Alli ni msanii mkubwa sana kuna time hatakiwi kujieka ivyo kawaida kawaida
Siku zote watoto wa uswaz ujaga kujua code za mavazi na kuoga ukubwani hasa wakiwa na uwezo ila watoto wa city center ile town kabisa wakishua mavazi kwao sio big deal jaribu kuchunguza walio wengi
 
Back
Top Bottom