Libya JF-Expert Member Nov 11, 2016 783 1,918 May 28, 2021 #1 Mamamamaa! Nyie! Nyimbo Nzuri Sana ipo huko YouTube ya Barnaba Keep watching good music
K kibaravumba JF-Expert Member Dec 21, 2012 6,635 7,005 May 28, 2021 #2 Hakuna lolote nimesikia clouds jana. Utopolo mtupu
Libya JF-Expert Member Nov 11, 2016 783 1,918 May 28, 2021 Thread starter #3 kibaravumba said: Hakuna lolote nimesikia clouds jana. Utopolo mtupu Click to expand... imba wewe tuone ya kwako
kibaravumba said: Hakuna lolote nimesikia clouds jana. Utopolo mtupu Click to expand... imba wewe tuone ya kwako
nusuhela JF-Expert Member Jan 26, 2014 5,736 6,972 Jun 9, 2021 #8 Aiii mwali wanguuu, cheketua Wewe ndio tunu yangu, cheketua Mbeba siri zangu, cheketua Mwenye tamu yangu, cheketua Aiii mamaaa, cheketua Tumetoka far away, cheketua Waache waongee, cheketua Maneno yao sijali, cheketua Nabarikiwa na hii ngoma mpya ya Barnaba na Ali kiba.....ni hatari sana hii cheketua
Aiii mwali wanguuu, cheketua Wewe ndio tunu yangu, cheketua Mbeba siri zangu, cheketua Mwenye tamu yangu, cheketua Aiii mamaaa, cheketua Tumetoka far away, cheketua Waache waongee, cheketua Maneno yao sijali, cheketua Nabarikiwa na hii ngoma mpya ya Barnaba na Ali kiba.....ni hatari sana hii cheketua