Alikiba avunja rekodi ya Diamond Platnumz views 1m ndani ya masaa 12

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Jana Baada ya Diamond kupata views m1 ndan ya masaa kumi na 3 alifanya part nyumban kwake kwenye parking yake ya Magar na kusherekea rikod yake mpya ya kupata views weng ndan ya mda mchache kitu ambacho Zaman ilikua kila msanii anataka views wengi ndan ya mwezi mmoja ikaja wiki ikaja siku now imekuja masaa

Ila hata ivyo Diamond hakuweza kudum kushikilia rikod ya mtanzania wa kwanza kupata view wengi ndan ya mda Mchache baada ya Alikiba kupata view m1 ndan ya masaa 12 uku Diamond akimshinda Kiba kwa lisaa kimoja sababu Diamond alipata view m1 baada ya masaa 13

Tuendelee kufatilia mtifuano huu unao endelea japo kwa Sasa Anae ishikilia rikod ya kupata view wengi ndani ya muda mchache zaid ni Alikiba

Screenshot_20210730-232016.jpg
 
Bado ijavunjwa record ya diamond maana Ngoma ya "Waah" ya mondi iliweka record ya kufikia 1M kwa masaa 8
 
Jana Baada ya Diamond kupata views m1 ndan ya masaa kumi na 3 alifanya part nyumban kwake kwenye parking yake ya Magar na kusherekea rikod yake mpya ya kupata views weng ndan ya mda mchache kitu ambacho Zaman ilikua kila msanii anataka views wengi ndan ya mwezi mmoja ikaja wiki ikaja siku now imekuja masaa

Ila hata ivyo Diamond hakuweza kudum kushikilia rikod ya mtanzania wa kwanza kupata view wengi ndan ya mda Mchache baada ya Alikiba kupata view m1 ndan ya masaa 12 uku Diamond akimshinda Kiba kwa lisaa kimoja sababu Diamond alipata view m1 baada ya masaa 13

Tuendelee kufatilia mtifuano huu unao endelea japo kwa Sasa Anae ishikilia rikod ya kupata view wengi ndani ya muda mchache zaid ni Alikiba

View attachment 1874613
Kanyaga ilifikisha viewers M1ndani ya masaa 6
 
Back
Top Bottom