Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 1,756
- 4,144
Tuzo kama zipi kwa mfano..!?Linapokuja suala la kupiga kura watz lazima tushinde tu mana hamna namna. Lakini wakisema likae jopo la majaji kiba hachomoki kokote. { samahani kiba fans ni ukweli tu}.
Tuzo kama zipi kwa mfano..!?Linapokuja suala la kupiga kura watz lazima tushinde tu mana hamna namna. Lakini wakisema likae jopo la majaji kiba hachomoki kokote. { samahani kiba fans ni ukweli tu}.
VIP kuhus show mbonahatusikii kufanya show hata moja za kimataifa kwa wimbo huo mmoja.Hongera Ali Kiba,aiseeeee wimbo wa Aje ni noma.
Wimbo mmoja tu mituzo kibao?
Dah
Chuki ni kidonda ukishiriki ugua poleVIP kuhus show mbonahatusikii kufanya show hata moja za kimataifa kwa wimbo huo mmoja.
By the way hizi tuzo zimeanza lini mama The bold?
Umeandika nini sasa?Chuki ni kidonda ukishiriki ugua pole
We umeona nnUmeandika nini sasa?
MipashoWe umeona nn
Uchochoroni wapi? ?Wakati diamond anapiga show uwanjani Ali kiba anapiga show uchochoroni!
Vichochoro vya DodomaUchochoroni wapi? ?
Nimejua akili yako ni ya aina gani AsanteVichochoro vya Dodoma
Nashukuru kwa kujielewa,heri ya mwaka mpya mkuuNimejua akili yako ni ya aina gani Asante
Sema huzijui sio hazijulikanan..acha kukaririTuzo hata hazijulikani ndo tuzo gani izo mi nkajua Mtv