Alikiba anajiita GOAT eti

Mtu hata africa bado haja cross...... vile inavyo stahiki.... unaanzaje kukubali kuwa ni GOAT..kwa mimi GOAT ni yule mtu ambaye amewahi kufanya mambo makubwa extra and different kabisa na wenzake katika comby yao.....kisha akafanikiwa kujulikana na kuwa much influence in the whole world....... isiwe mtu anajulikana tu tz kenya sudan na hapo bujumbura then aanze kujiita GOAT...dunia itakuwa na GOAT wengi wakipuuzi......... itifaki izingatiwe...
Hiyo ya WORLD ndo tunapopishana mzee kama hivyo manake bongo hakuna G O A T siyo kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marlaw great of all time mzee baba ? Tuwe sirias kidogo asee great of all time hata akiacha leo mziki his legacy i ll survive generations alikiba hawez akawa .A.T labda awe mbuzi tu
Hahahahahaaaaaaaa jipe moyo ukisema hivyo na Marlaw nae utasemaje?..he still there ndo maana yy kuandika hivyo tu ona tumeacha kazi zetu na wote tunajadili kiba fundi bwana majungu tuweke kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom