Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
Fid q bhaana alisema wanachowaza si kutengeneza akina ali kiba wawili au akina dimond wawili,ila wanawaza kumshusha mmoja ili mwingine ashine.. Big up the real Ngosha
 
Hio pesa kalipwa kwa sababu ipi? Ama ameteuliwa kuwa balozi wa tekno, ama ameenda kuperform stejini? Kama hayo hayapo ni uongo. Mi nadhani kaenda kwa sababu sonny wamehusika katika utengenezaji wa camera za simu hio hivyo kaenda kama mualikwa. Maana hata millard Ayo alikuepo. 1.5 billion ni pesa ndefu sana kulipwa kwa ajili ya special appearance.
 
Wamemchagua msaanii wa Tanzania pengine kwa sababu watumiaji wa simu za kampuni hii za bei ya kawaida wengi wanatoka Tanzania
 
Kwani Diamond na yeye anatoka wapi? Si Afrika vile vile na wala hana influence yoyote Dubai!!
Kwani hiyo simu itatumika UEA pekee? Uzinduzi unaweza fanyika popote mkuu
. May be Kiba alitumika kama the Unique aspect kwa biashara am a anarepresent change. All the same unapaswa kushukuru TZ got the chance. Don't always be personal.
 
Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.
Ulichokiandika Hapa kinahusiana na mada husika..? Akili za mwanamke bana kama kuku tu
Watu wanasifia alichofanya kiba wewe unataka kuleta ligi ya mond vs kiba unataka uzi uharibike.?

0404
 
Kwani hiyo simu itatumika UEA pekee? Uzinduzi unaweza fanyika popote mkuu
. May be Kiba alitumika kama the Unique aspect kwa biashara am a anarepresent change. All the same unapaswa kushukuru TZ got the chance. Don't always be personal.
Dude, nafahamu ninachoongea! Hata ukitaka full video ya huo uzinduzi naweza kukuwekea hapa lakini sikutaka kufanya hivyo kv sikutaka kutibua sherehe za watu! Sababu ya Techno kwenda Dubai is exclusively kuteka soko la Dubai kv soko lake kubwa kama sio lote lipo Africa! Kwahiyo Techno wanatafuta kujitanua!

But anyway, kama unataka kuonea fahari, unaweza kufanya hivyo lakini kusema Tanzania imepata chance, is a big joke!
 
HAPANA MKUU HAWAWEZI KUMPA HUYU DOGO KIBA HATA MILLION 20, atakufa hapo hapo. Labda amepewa mabilioni ya ZAMBIA
Ndugu yangu uwe unafwatilia mambo hata kwa mbali...Zambia pesa yao ina thamani mara mia mbili ukilinganisha na shiling ya TZ...

1.00 ZMW = 217.443 TZS
 
Duuhh kua mgeni mualikwa tu billion 1.5 aisee..dunia haina usawa.. si buree
 
Back
Top Bottom