Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,414
- 865
Binti mwenye umri wa miaka 16 alifaulu kuingia form one mwaka jana 2015, aliishia njiani kulingana na mazingira aliyokuwa anaishi, amechukuliwa kufanya kazi za bartender mwaka huu lakini analia kila siku kupoteza malengo yake ya kusoma anaomba mtanzania mwenye kumsaidia ampeleke shule, kama unataka kumsaidia nipigie namba yangu 0744116484 nikuunganishe nae, Mungu awabariki sana.