Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa.

Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
Nguvu ya umma iliisha KWA Dr Slaa 2015,Sa hivi zipo Gia za angani.
Mbowe eti kambadilikia SSH anaanza kumsifia JPM eti,Nyumbu nao wamefata mikia hawaoni wala kusikia.
Hayo ndo mambo ya gia za Angani
 
Hivi hapa tuseme anamuiga Boby Wine wa Uganda au Julius Malema wa Sauz?
IMG_20210722_202048.jpg
 
Kama siyo nguvu ya umma Mr Dudumizi . Mbona Ccm inawaogopa kwenye sanduku la kura mpaka wanaamua kupora mchakato wote ?!

Kama haina nguvu ya umma hofu ya Dola ni nini ?!
Hiyo si kweli ni dhana tu. Nenda mahakamani na ushahidi. Hakuna aliye enda si Kibatala, Fatuma Karume au Lissu. Yamebaki maneno ya kujifariji tu.
 
Kinachonifurahisha humu watu wanavyo comment utadhani hao Chadema wanapigania masilahi yao-kumbe ni kwa ajili ya Wa Tanzania walio gizani.
 
Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa.

Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
Acha ufala,,,,kwa hiyo tukienda kuvunja maduka kariakoo kama afrika kusini hiyo kwa akili yako ndio nguvu ya umma??yaani watu wa ccm bhana,duh wanadhani sisi watoto yaani hatuna akili kabisa,,,embu acha ujinga wewe
 
Hapa Tanzania Kuna wapiga kelele wa mitandaoni tu. Huku mtaani hata upite unampiga makwenzi Mbowe hakuna wa kukuuliza. Sana sana watakimbila mtandaoni na "kukinukisha"!!!
 
CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Kina wanachama zaidi ya mil.4!

Kwani wewe ulitaka watu afanye nini? Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe sisi wananchi tunawachora tu,muda ukifika tutaamua
 
Acha ufala,,,,kwa hiyo tukienda kuvunja maduka kariakoo kama afrika kusini hiyo kwa akili yako ndio nguvu ya umma??yaani watu wa ccm bhana,duh wanadhani sisi watoto yaani hatuna akili kabisa,,,embu acha ujinga wewe
Kwahiyo tumuache mwenyekiti apambane na hali yake?!
 
Hapa Tanzania Kuna wapiga kelele wa mitandaoni tu. Huku mtaani hata upite unampiga makwenzi Mbowe hakuna wa kukuuliza. Sana sana watakimbila mtandaoni na "kukinukisha"!!!
Ya ulichoandika ni kweli mkuu. Unakuta mtu mmoja ana ID kumi, kwahiyo wakiwa kumi unaweza kufikiri wako mia.
 
Njoo Maria Spaces acha kushauriana ujinga na walala hoi wenzako, kwa ujinga huu wa GT wa jamii forums imepoteza mvuto kabisa nikitendo cha muda kabla hatujahamia twitter.
 
Back
Top Bottom