Aliepigwa risasi na polisi Mahonda - Zanzibar, afariki dunia

Dhambi hii ya kuchoma makanisa itaendelea kuwalilia mpaka kikundi cha Kigaidi Cha UAMSHO choote kitakapo angamia

Makanisa yalichomwa na Wagalatia wenyewe Mkuu ili kutengeneza fitna. Mbona wenzako wote wanajua?!!! Wewe tu hujui sijui unaishi dunia gani?!!!!
 
Baada ya harakati za kwenda donge kufanya mhadhara jumuiya ya Muamsho,wakati wapo njiani maelfu ya wananchi walikutana na polisi wakiwa wameweka road-block ktk kiji cha mahonda njiani,wananchi hao wakaamua kukaa kitako chini kwa wote waume na wanawake,Polisi baada ya kuona hivyo wakaamua kupiga mabomu ya machozi na kupiga risasi za mpira kwa watu na ndipo risasi zikawaangukia watu wawili, kati ya hao wawili mmoja amefariki dunia na waliingia mpaka misikitini kupiga watu na ktk msikiti mmoja pale mahonda umejaa damu mpaka jana..

Chanzo cha vurugu:

Jumuiya hii ilianda mhadhara huu zaidi ya wiki mbili nyuma na walikuwa wamekamilisha taratibu zote za kisheria na kukubaliwa kufanya,siku ya mhadhara ilipofika wakati watu wengine wengi sana washafika mapema donge kutoka maeneo ya jirani na donge na upande wa kaskazini,wakabaki watu wanaotoka mjini na kusini wao wakakutana mjini kwa ajili ya kuondoka, Mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya na Polisi wakawafuata maamiri wa muamsho ktk sehemu ya mbuyuni mjini znz na kuwaambia wasiende donge,maamiri hao wakawajibu tumekamilisha taratibu zote za kisheria tena kupitia kwenu,mbona hamkutwambia kabla kama tusifanye? leo watu washakusanyika hapa kutoka maeneo mbali mbali na washakodi magari na wengine wapo njiani kuelekea huko na wengine washafika donge tena wengi sana,ndio mnakuja kutwambia tusifanye,sisi tufanye nini wakati huu tena,basi angalau mngetwambia asubuhi mapema tukawatangazia watu kuwa hakuna mhadhara,(wakati huo walokutana ilikuwa ni saa saba mchana) mnatwambia wakati huu? hatuna jinsi kama mumeshadhamiria vibaya basi fanyeni,sisi hatuna la kufanya kwa wakati huu.

Saizi yao, wanataka kutuletea upumbavu nchi hii
 
Poleni wote waliofiwa,kweli inasikitisha kama polisi watawatendea watu hivi.ingawa mimi sio uamsho wala muislam Lakini inasikitisha kama polisi walishatoa kibali kwa nini wafanye hivi.Mungu anatuagiza tupendane wote bila kujali kabila dini wala hali .Ni jukumu la polisi sasa kubalili muelekeo sasa watumie hekima na busara LAKINI KUTUMIA KUVU HAKUTASAIDIA ZAIDI YA KULETA MADHARA.

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mmechoma makanisa na mali za watu je hilo lilikuwa sawa?
 
Back
Top Bottom