Alien - Cabinet Je? Nako Kuna Udini Na Ujinsia?

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Suala la Udini na Jinsia limekuwa na sauti sana miaka ya hivi karibuni katika siasa za Tanzania zaidi sana kuliko Ukabila, Ujimbo, Utajiri au Umasikini n.k.

Ushauri wangu kwa Watanzania, umefika wakati sasa suala zima la jinsia na dini haliwezi tena kuzuilika kwa kutumia kigezo chochote k.m. Elimu, Uzoefu, Uwezo n.k.

Ninachotaka kuwaambia ni juu yenu sasa wakati mnaangalia vigezo vya Elimu, Uzoefu, Uwezo nk muangalie pia uwinao wa dini zenu kubwa na jinsia zenu kubwa.

Msipolizingatia hili itafika wakati litawashinda na matokeo yake yanaweza kuwa si mazuri. Everything has a time limit. You need to prepare before you reach the lime limit.

Analyse your current government in terms of Religious and Gender Composition and see if it makes any impact in Tanzanian Politics. If not then you are safe, if it is having impact, refer to my advisor above.

Here we go:

1. President and Commander -in- Chief - H.E Jakaya Mrisho Kikwete
2. Vice - President - H.E Dr. Ali Mohamed Shein
3. President of Zanzibar - H.E Amani Abeid Amani Karume
4. Prime Minister - Rt.Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda
5. Public Service Management - Hon. Hawa Abdulrahman Ghasia
6. Good Governance - Hon. Sofia Mnyambi Simba
7. Union Affairs - Hon. Muhammed Seif Khatib
8. Environment - Hon. Dr. Batilda Salha Burian
9. Regional Administration and Local Government Hon. Celina Kombani
10. Parliamentary Affairs - Hon. Philip Sang’ka Marmo
11. Foreign Affairs - Hon. Bernard Kamillius Membe
12. East African Co-operation - Hon. Dr. Diodorus Kamala
13. Finance and Economic Affairs - Hon. Mustafa Mkuro
14. Industry, Trade and Marketing - Hon. Dr. Maryl Nagu
15. Agriculture, Food Security - Hon. Stephen Wassira
16. Natural Resources, Tourism - Hon. Shamsa Mwangunga
17. Water and Irrigation - Hon. Prof. Mark James Mwandosya
18. Energy and Minerals - Hon. William Ngeleje
19. Infrastructure Development- Hon. Dr. Shukuru Kawambwa
20. Communication, Science and Technology- Hon. Prof. Peter Msolla
21. Health and Social Welfare - Hon. Prof. David Homeli Mwakyusa
22. Education and Vocational Training - Hon. Prof. Jumanne Maghembe
23. Labour, Employment and Youth Dev.- Hon. Prof. Juma Kapuya
24. Lands, Housing & Human Settlements Dev. Ho. Capt. John Chiligati
25. Information, Culture, and Sports - Hon. George Mkuchika
26. Defence and National Service - Hon. Dr. Hussein Ali Mwinyi
27. Home Affairs - Hon. Lawrence Kego Masha
28. Justice and Constitutional Affairs - Hon. Mathias Meinrad Chikawe
29. Community Development, Gender and Children- Hon. Margareth Sitta
30. Livestock and Fisheries Development - Hon. John Pombe Magufuli

Deputy Ministers and Their Respective Ministries

31. Regional Administration and Local Government - Hon. Aggrey Mwanri
32. Foreign Affairs and Internationa l Co-operation - Hon. Seif Ali Iddi
33. East African Co-operation - Hon. Mohamed Aboud
34. Finance Hon. Jeremiah Sumari , - Hon. Omar Yussuf Mzee
35. Industry, Trade and Marketing - Hon. Dr. Cyril Chami
36. Agriculture, Food Security and Co - Hon. Dr. David Mathayo David
37. Energy and Minerals - Hon. Adam Malima
38. Infrastructure Development - Hon. Hezekiah Ndahani Chibulunje
39. Science, Technology and ICT Development - Hon. Dr. Maua Daftari
40. Health and Social Welfare - Hon. Dr. Aisha Omar Kigoda
41. Education and Vocational Training - Hon. Mwantumu Bakari Mahiza
42. Education and Vocational Training - Hon. Gaudensia Mugosi Kabaka
43. Labour, Employment, and Youth Dev. - Hon . Dr. Milton Mahanga
44. Community Development, Gender and Children - Hon. Lucy Nkya
45. Home Affairs - Hon. Khamis Sued Kagasheki
46. Livestock ang Fisheries Development - Hon. Dr. James Wanyancha
47. Natural Resources and Tourism - Hon. Ezekiel Maige
48. Water and Irrigation - Hon. Eng. Christopher Chiza
49. Information, Culture and Sports - Hon. Joel Nkaya Bendera
50. Defence and National Service - Hon. Dr. Emmanuel John Nchimbi
 
Kweli ccm walijitayarisha kwa propaganda ili kuzima hoja ya UFISADI!
Hata hivyo wiki hii inayofuatia tutaanza kusikia kuhusu ripoti za madini na EPA!
 
UNITY IS THE SOLUTION!

UDINI, JINSIA, KABILA VYOTE NI AGAINST UNITY NA HENCE Kubaki STAGNANT!

Guys..Hakuna kitu kinamwogopesha mkoloni kama UMOJA! Wakiona hivyo watawavuruga kwa udini na ukabila!

Hata uko wahutu na watutsi walichinjana eti kisa mwingine ana puwa kubwa na mwingine ndogo?

Angalia watu walioungana hata kama ni wajinga wanapata maendeleo...!Mfano kama USA wenyewe! Kama si kuwa pamoja wasingekuwa hapa walipo!

Umasikini uantokana na ujinga na ukosefu wa elimu!

Kama elimu ikipewa kipaumbele then watu hawatayumbishwa na mambo kama hayo!

Na ndio maana hata mwalimu aliukoma mkoa wa kilimanjaro! Si mwalimu tu...Hata mkoloni mwenyewe...Alibanwa vibaya mno na wazee wetu walipigana kiume kwasababu walitaka kuona mwananchi ana nufaika na mali zake!

Sasa kuna wengine wanauza nchi halafu wanaanza kusema mchagga hivi mchagga vile ama mkristo hivi na msilam vile!

Zile mbinu alizozitumia mkoloni ni mbinu hizo hizo anazozitumia FISADI KWA amri ama maagizo kutoka kwa MKOLONI huyo huyo anayemlinda na kumweka madarakani!

Nimeshawaambia kuwa VIONGOZI WETU NA WALAANIWE Kwani wamekosa HURUMA kabisa na sasa wameamua kuuza nchi moja kwa moja na huku wananchi wa kawaida wakiteseka na kufanywa watumwa kwenye taifa lao wenyewe!

Hivyo basi kuhamasika kwa wananchi ndiyo tabu...Lakini ukosefu wa elimu ambayo ni sera ya wazi ya ccm ndiko kumekuwa kikwazo kwani wanaendelea kuwapumbaza wananchi kwa pilao na misaada midogo midogo huku wakisema kuwa kuna ukabila na wala si UDISADI!

Watoto wa Tanzania wanaokwenda shule kwenye elimu ya juu ama wenye kuhudhuria elimu zaidi ya ile ya msingi hawafiki hata nusu ya watoto wote Tanzania!

Sasa kama si sera ya ccm ya kikaburu ili waendelee kutawala na labda kuturudisha utumwani the ni nini hiki?

Kilimo ambacho bado ni utu wa mgongo kama sera inavyosema bado hata hawakijali! Na njaa ndio usiseme licha ya kwamba ardhi tunayo na uwezo wa kulima kilimo cha kisasa tunao na pia wahindi mnawapa mikopo na hata hawataki kufungua maghala a uhifadhi wa chakula na pia hawajengi na hawafanyi shuhuli ambazo zitamsaidia mzawa kimaisha na kutukwamua kimaendeleo...Hawa walikuja kuchuma na mwalimu kwa chuki ya wachagga...

Alikuwa radhi ku counter balance maendeleo ya wazawa na kuwapa wahindi mikopo na uongozi wa TAIFA KIBIASHARA NA maamuzi ya kiuchumi yakaachiwa muhindi na ya SIR ANDY CHANDE KILA MTU ANAYAJUWA!

Mwalimu aliona BORA YA MUHINDI KULIKO MCHAGGA na sasa naona ccm wana sera mpya kuwa ni bora ya mchina kuliko Muhindi!

Yani kama ndio hekima za uongozi wetu basi hatuna viongozi!

Kama alivyosema bwana mmoja hapa jf anayekwenda kwa jina la KAMENDE...Kuwa uelewa wa Historia yetu ni muhimu sana kama kweli tunataka tuyasimamie maslahi ya wananchi pamoja na yale ya kizazi kijacho!
 
Ebu tupe listi ya Zanzibari... ili twende nazo sambamba

Hivi hiyo orodha ya Zanzibar itatusaidia nini? Hapa imezungumziwa Tanzania, Baraza la Zanzibar unajua hakika litakuwa na asilimia kubwa ya waislam kutokana na hali halisi ya Population ya visiwani, hivi nambie cabinets za nchi kama Uganda, Kenya, nchi nyingi za Ulaya, Marekani nk. Unategemea zitakuwa na sura gani kwa upande wa Dini za wabunge wao? Points nyengine hazina msingi kwa kweli,Allien kazungumzia point za maana kwa Tanzania, mpasuko na matatizo ya Zanzibar hayako kwenye udini bali Upemba na U-Unguja, twende mbele.....
 
Nimeomba listi ya Zanzibari ili tuweze angalia issue hii more broadly.., kwa sababu Zanzibari ni wenzetu katika Muungano, kwamba tu taifa moja, ingawa tuna serikali mbili tofauti. Our brains work differently bro...

Kwa kutumia reference za kiharaka haraka nimewapata wafuatao:

Waziri Kiongozi - Nahodha

Minister for Information, Culture and Sports and Deputy Chief Minister - Ali Juma Shamhuna

Minister of State in the Office of Chief Minister - Machano Othman Said

Minister of State in the President's Office (Finance and economic affairs) - Dr Mwinyihaji Makame

Minister Without Portfolio - Zainab Omar Mohammed.

Minister for Agriculture, Livestock and Co-operatives - Burhan Saadat Haji

Minister for Health and Social Welfare - Sultan Mohammed Mugheir

Minister for Education and Training - Haroun Ali Suleiman.

Minister for Communication and Transport - Adam Mwakanjuki

Minister of State in the Office of the President (Regional Administration, Local Government and SMZ forces) - Suleiman Othman Nyanga

Minister for Works, Energy and Land, - Mansour Yussuf Himid

Minister of State in the President's Office (Constitution and Good Governance) - Ramadhan Abdalla Shaaban

Minister for Tourism and Marketing - Samia Suluhu Hassan

Minister for Labour, Youth, Employment and Women Development and Children - Asha Abdallah Juma.

My take:

Ukiangalia hii listi utagundua mapungufu yafuatayo:

1. Kuna waziri mmoja tu kutokea Pemba, ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya Rais (kazi maalum), Bi Zainab Omar Mohammed. Ukiangalia population ya Zanzibari, ratio ya watu walioko Unguja ukiiilinganisha na ya Pemba haiko 9:1.... Something is wrong here!!!! Sauti za watu wa Pemba zinakosa "representation" kwenye serikali tawala. Something needs to be done here.

2. Ukiangalia cabinet yote, utagundua hakuna kiongozi yeyote kutoka ukristoni. Ukifanya reference nzuri utagundua kwamba katika miaka ya 80 - 90 kulikua na kelele nyingi kutoka kwetu sisi waislam kwamba tunabaguliwa kuwekwa kwenye uongozi huku bara.... Ukitumia reference hiyo ya miaka ya 80 - 90 uta-conclude kwamba what is happening in Zanzibar is contrary to what we originally believed. Population ya Zanzibar sio 100% muslim... Something needs to be done here, kwani wakristo wanakosa "representation" in decision making in Zanzibar.

Kama ndugu zangu tuli-fight sana kuweza kuingizwa katika baraza tawala huku bara then we have to do the same in Zanzibar.

Hayo ni machache niliyoweza kuyaona haraka haraka.
 
Ni sawa uliyosema kuhusu uwakilishi wa wakristo ktk cabinet ya Zanzibar, Kukusahihisha Mkristo pekee ni Brigedia Mwakanjuki,Kesi ya uwakilishi wa wapemba ni Complex issue lakini kifupi kama niliandika awali matatizo ya visiwani ni upemba na u-unguja kama ulivoainisha kwamba cabinet nzima mpemba ni mmoja, lakini hii inatokana na wapemba kutokiamini chama-tawala, kisiwani Pemba CCM ni sawa na hakuna, sifa kuu ya kuchaguliwa katika Cabinet ni uwe Member of The House of Representative iwe kwa kuchaguliwa katika jimbo au kuteuliwa na Raisi, Pemba CCM haina hata kiti kimoja na CCM ndio inaunda Serikali,hivo inakuwa kazi ngumu kwa Rais kuteua mtu ambae hakuchaguliwa na wananchi, which means in this case ili Pemba iwakilishwe vilivyo ateuwe baadhi ya wajumbe Pemba ku-balance Baraza, which will be unfair for other's elected qualified members. Ni hayo tu!
 
Ni sawa na mtu uende algeria then uulize why mawaziri ni wa dini moja?

Alaaaaaa! PCA inaonyesha ya jibu lako na variables za udini na ukabila zikaonyesha hakuna haja ya kuquestion ukabila chadema wala uislamu sisiemu. Asante sana kwa jibu zuri.
 
suala la Zanzibar kuhusu Idadi ingeulizwa kuhusu wanawake. Kama idadi ya wanaume kwenye baraza hilo inazidi sana wanawake, then madai ya upendeleo wa kijinsia (sexism) yanaweza kutolewa.
 
Suala la Udini na Jinsia limekuwa na sauti sana miaka ya hivi karibuni katika siasa za Tanzania zaidi sana kuliko Ukabila, Ujimbo, Utajiri au Umasikini n.k.

Ushauri wangu kwa Watanzania, umefika wakati sasa suala zima la jinsia na dini haliwezi tena kuzuilika kwa kutumia kigezo chochote k.m. Elimu, Uzoefu, Uwezo n.k.

Ninachotaka kuwaambia ni juu yenu sasa wakati mnaangalia vigezo vya Elimu, Uzoefu, Uwezo nk muangalie pia uwinao wa dini zenu kubwa na jinsia zenu kubwa.

Msipolizingatia hili itafika wakati litawashinda na matokeo yake yanaweza kuwa si mazuri. Everything has a time limit. You need to prepare before you reach the lime limit.

Analyse your current government in terms of Religious and Gender Composition and see if it makes any impact in Tanzanian Politics. If not then you are safe, if it is having impact, refer to my advisor above.

Here we go:

1. President and Commander -in- Chief - H.E Jakaya Mrisho Kikwete
2. Vice - President - H.E Dr. Ali Mohamed Shein
3. President of Zanzibar - H.E Amani Abeid Amani Karume
4. Prime Minister - Rt.Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda
5. Public Service Management - Hon. Hawa Abdulrahman Ghasia
6. Good Governance - Hon. Sofia Mnyambi Simba
7. Union Affairs - Hon. Muhammed Seif Khatib
8. Environment - Hon. Dr. Batilda Salha Burian
9. Regional Administration and Local Government Hon. Celina Kombani
10. Parliamentary Affairs - Hon. Philip Sang’ka Marmo
11. Foreign Affairs - Hon. Bernard Kamillius Membe
12. East African Co-operation - Hon. Dr. Diodorus Kamala
13. Finance and Economic Affairs - Hon. Mustafa Mkuro
14. Industry, Trade and Marketing - Hon. Dr. Maryl Nagu
15. Agriculture, Food Security - Hon. Stephen Wassira
16. Natural Resources, Tourism - Hon. Shamsa Mwangunga
17. Water and Irrigation - Hon. Prof. Mark James Mwandosya
18. Energy and Minerals - Hon. William Ngeleje
19. Infrastructure Development- Hon. Dr. Shukuru Kawambwa
20. Communication, Science and Technology- Hon. Prof. Peter Msolla
21. Health and Social Welfare - Hon. Prof. David Homeli Mwakyusa
22. Education and Vocational Training - Hon. Prof. Jumanne Maghembe
23. Labour, Employment and Youth Dev.- Hon. Prof. Juma Kapuya
24. Lands, Housing & Human Settlements Dev. Ho. Capt. John Chiligati
25. Information, Culture, and Sports - Hon. George Mkuchika
26. Defence and National Service - Hon. Dr. Hussein Ali Mwinyi
27. Home Affairs - Hon. Lawrence Kego Masha
28. Justice and Constitutional Affairs - Hon. Mathias Meinrad Chikawe
29. Community Development, Gender and Children- Hon. Margareth Sitta
30. Livestock and Fisheries Development - Hon. John Pombe Magufuli

Deputy Ministers and Their Respective Ministries

31. Regional Administration and Local Government - Hon. Aggrey Mwanri
32. Foreign Affairs and Internationa l Co-operation - Hon. Seif Ali Iddi
33. East African Co-operation - Hon. Mohamed Aboud
34. Finance Hon. Jeremiah Sumari , - Hon. Omar Yussuf Mzee
35. Industry, Trade and Marketing - Hon. Dr. Cyril Chami
36. Agriculture, Food Security and Co - Hon. Dr. David Mathayo David
37. Energy and Minerals - Hon. Adam Malima
38. Infrastructure Development - Hon. Hezekiah Ndahani Chibulunje
39. Science, Technology and ICT Development - Hon. Dr. Maua Daftari
40. Health and Social Welfare - Hon. Dr. Aisha Omar Kigoda
41. Education and Vocational Training - Hon. Mwantumu Bakari Mahiza
42. Education and Vocational Training - Hon. Gaudensia Mugosi Kabaka
43. Labour, Employment, and Youth Dev. - Hon . Dr. Milton Mahanga
44. Community Development, Gender and Children - Hon. Lucy Nkya
45. Home Affairs - Hon. Khamis Sued Kagasheki
46. Livestock ang Fisheries Development - Hon. Dr. James Wanyancha
47. Natural Resources and Tourism - Hon. Ezekiel Maige
48. Water and Irrigation - Hon. Eng. Christopher Chiza
49. Information, Culture and Sports - Hon. Joel Nkaya Bendera
50. Defence and National Service - Hon. Dr. Emmanuel John Nchimbi

Wakuu,

Kwa maoni yangu, tunaoongelea udini ni sisi wenyewe ndio tuna udini na wale tunaoongelea ukabila ndio wenye ukabila. Kwa nini tusiwaangalie hawa kama watanzania tu?

Kuna wakati, hasa ule wa Rais Nyerere, wakristo walikuwa ndio wengi kila mahali penye uongozi na waislamu wakaambiwa wanakosa nafasi hizo kwa kuwa hawajasoma. Inaelekea sasa nao wamesoma.

Imefika wakati sasa tutambuane kama watanzania tu. Ukihesabu watu kwa dini zao, itabidi uanze kuwahesabu kwa kabila zao pia kwa uwiano uliosawa.
 
hapa jukwaani, tumeanza mijadala ya ukabila,udini, na sasa ukanda, tukumbuke kuwa ubaguzi huanza kwa namna hii. ningeshauri mijadala hii ikafungwa. ukaanza mjadala wa mtanznia kwanza chama nyuma
 
hata mimi hii mijadala inanibore kweli!Taifa liko kwenye magogo sasa tukianza kuchimba ukabila udini sijui unini!tutafika kweli!kwani mtu akiwa dini fulani au kabila fulani hiyo haijalishi kinachojalishwa hapa ni uendaji wake!Jamani tunakwenda wapi?tukianza kuquestion udini?udini au ukabila hauathiri quality ya kazi!awe muislam,mkristo,mchaga,mhaya jamani tujudge baraza kwa caracter na utendaji kazi na sio udini wala ukabila!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom