Aliejifungua mapacha siku ya mabomu g/mboto afariki

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
habari ya kusikitisha. Yule dada aliejieungua mapacha siku mabomu yalipolipuka G/mboto amefariki katika hospitali ya Muhimbili. Awali alikuwa hosp ya Kisarawe. Ni masikitiko. RIP dada. Ndg, jamaa na marafiki poleni. Source ya habari ni duru zetu radio one sterio
 
Back
Top Bottom