Aliegongwa na gari na kufa hapo hapo na kuzikwa apiga simu kwa mkewe

Mrejesho huu hapa

Kwa kuwa ni tukio la kusisimua na kwangu niliona kitu ambacho hakiwezekani

Ikanibidi nichukue usafiri kwa ajili ya kwenda kushuhudia maana mambo ya kusimuliana chumvi zinakuwa nyingi

Hatimae nimewasili mtaan kwa yule mzee nikakutana na majilani zake nao wakiwa wanangoja kwa hamu kumuona yule mzee punde kama majila ya saa sita hivi

Tunaiona gari ikiingia kwenye ile nyumba ya marehem ikabidi tusogelee eneo la tukio

Dah kuja kucheki namuona yule mzee akishuka kwenye gari tena akiwa kwenye mavazi yale yale

Kiukwel majilan na watu waliokuwepo pale hawakuamini
Yule mzee akatoa salamu tukajibu nakuanza kuongea haya

Msiwe na shaka ni mimi nikweli mliona kama ajali ila ile ni kiini macho dada yangu ndio aliyenifanyia haya

Sikuile nilikuwa natoka hospitali kumwona mjomba wangu kipindi narudi nikajikuta ninausingizi wa gafula nikiwa njia basi nikasema ngoja nijipunguze mwendo nipunzike

Muda sio punde nikajikuta nipo sehem tofauti na mazingira niliyokuwepo ila kwakuwa mimi ni mtu wa mila nikajua kinachoendelea na kilichofanyika

Nikiwa huko huko nikafanya mambo ninayoyajua basi hatimae nikatokea sehem nakukuta watu wakiuzika mgombaa ila mimi sikuweza jitokeza kwenye macho ya kawaida mpaka mazishi yalipo kamilika

Kwa alivyoongea vile sikushangaa maana mwenyewe nilishawah kupanda kifuu cha nazi toka zambia mpaka tz mchana kweupe nitaleta stoli hapa ilikuaje
Hiyo story mbona ujaleta
 
Back
Top Bottom