Joshua Mulundi, aliyedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu

Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz

Kama alikiri mbele ya hao ambao alienda kutubu ya kuwa yeye ndiye muhusika imekuwaje tena akane mashtaka?bosheni
 
Hebu mwangalie jamaa hapa anavyotunga hadithi hii:

[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]
 
Nimeiona hii youtube. Hebu angalia kwenye video jamaa anavyotoa kigugumizi:

[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]
 
Ukweli usalama wa Taifa huko nyuma walikuwa intelligent sana . Walikuwa wanaweza kusuka mambo na yakaibadilisha public opinion. Nadhani kwa vile uteuzi wa Wanausalama, majaji na watu wengine haungalii tena uwezo bali sifa nyingine mbadala, Usalama wa Taifa kama taasisi nyingine imeshuka kiwango cha kufikiri na kutenda. Amini usiamini, usalama wa taifa ndio waliomwandaa mtesaji wa Ulimboka ili baadae aseme alitumwa na Chadema ili watu waone serikali yao ni katili. Lakini kwa Tanzania ya leo, hilo halitaingia akilini kwa watu
 
Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz

kamanda KOVA kwa hili umeidhalilisha Dini yako, familia yako, majirani zako, familia yako, Mapolisi wote Nchini, Ikulu na sisi wananchi wa Tanzania kwa kitendo hicho cha udanganyifu ulioutolea maelezo yasiyo kuwa na kichwa wala miguu umetia aibu kubwa unatakiwa kujiuzuru kabla mungu ajakulaani.
 
Dah haya ngoja tusubiri pati two ya hiyo muvi.
Ajabu na kweli, baada ya msanii kanumba kufariki fasta tu mshukiwa akaswekwa ndani, lakini toka dr Ulimboka amabwepandiwe hakuna yeyote aliyetiwa ndani.
 
Ukweli usalama wa Taifa huko nyuma walikuwa intelligent sana . Walikuwa wanaweza kusuka mambo na yakaibadilisha public opinion. Nadhani kwa vile uteuzi wa Wanausalama, majaji na watu wengine haungalii tena uwezo bali sifa nyingine mbadala, Usalama wa Taifa kama taasisi nyingine imeshuka kiwango cha kufikiri na kutenda. Amini usiamini, usalama wa taifa ndio waliomwandaa mtesaji wa Ulimboka ili baadae aseme alitumwa na Chadema ili watu waone serikali yao ni katili. Lakini kwa Tanzania ya leo, hilo halitaingia akilini kwa watu
Mkuu wakina jack zoka wamesoma propaganda na intelligence ya Russia ya mwaka 1974 ndio bado wanaitumia miaka hii ambayo technology na uelewa wa watu ni mkubwa Kipindi kile tulikuwa tunatumia masaburi kufikiri nawashauri wakasome tena
 
Yani hawa POLINYINYIEMU script hii move yake haichezeki. Wanashindwa hata kufanya reasoning ya kawaida. Ulimboka alitoa maelezo ya awali. Lakini hakusema kama mmoja wao ni mhindi-mkenya. Alionesha mtu (wakati yuko mhimbili)kwa kudai alichukua simu na waleti yake lakini huyo mtu hakuchuliwa na poliNYINYIEMU kwa maelezo zaidi. Kova nilikuwa namuheshimu sana. Lakini kwa hii script heshima yote imefutika.
Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz
 
Ukweli usalama wa Taifa huko nyuma walikuwa intelligent sana . Walikuwa wanaweza kusuka mambo na yakaibadilisha public opinion. Nadhani kwa vile uteuzi wa Wanausalama, majaji na watu wengine haungalii tena uwezo bali sifa nyingine mbadala, Usalama wa Taifa kama taasisi nyingine imeshuka kiwango cha kufikiri na kutenda. Amini usiamini, usalama wa taifa ndio waliomwandaa mtesaji wa Ulimboka ili baadae aseme alitumwa na Chadema ili watu waone serikali yao ni katili. Lakini kwa Tanzania ya leo, hilo halitaingia akilini kwa watu

Duuuuh hapo red wakijaribu khaaa!
 
TISS na Police wanaujua ukweli kwamba you cannot connect Chadema na upuuzi huo .Kuna mengi hapa na wanazidi kuji jaribia kabisa mbele za macho ya watanzania .Kijana kesha situka sasa anasema mashitaka si sawa nadhani walikubaliana mengine na sasa kufika wamesema mengine lakini just wait by Monday wapenda Nchi walioko Usalama wa Taifa watakuwa wamesha vujisha ukweli zaidi as always .
 
Mkuu wakina jack zoka wamesoma propaganda na intelligence ya Russia ya mwaka 1974 ndio bado wanaitumia miaka hii ambayo technology na uelewa wa watu ni mkubwa Kipindi kile tulikuwa tunatumia masaburi kufikiri nawashauri wakasome tena
sisi wa kizazi cha 80 tunatumia akili.
 
inasemekana alikamatwa tarehe 29 JUNI 2012 taarifa ya kukamatwa kwake ikatolewa tarehe 14 JULAl 2012 kwa wananchi ni nini hasa kilipelekea taarifa ya kukamatwa kwake isitolewe mapema kuwaondolea utata wananchi wa juu ya hasa alihusika na huo unyama kwa Dr. Ulimboka?
Na mimi napata wasiwasi hivi kweli hata wale wahusika katika hilo kanisa hawakuweza kutoa taalifa mapema kwa jamii juu ya hilo na siku zote hizo zimepita, hapa naomba viongozi wa kanisa hilo kama wanataka waumini wao na watanzania wawe na imani na dhehebu hilo watoe taarifa iliyo wazi kwa watanzania la sivyo watakuwa wamedhalilisha dhehebu hilo.
 
Hivi watampelekaje mahakamani kabla ya gwaride la utambulisho?? Dr Ulimboka amtambue ndo process za mashtaka zianze. Na Hemed Msangi achanganywe kwenye gwaride tuone Dr atamuopoa nani? Kova acha maigizo kwenye mambo yanayogusa jamii!
 
upelelezi umekamilika lini? aliyewatuma yuko wapi? sababu za kumteka ni nini? wenzake ni kina nani? unakimbilia mahakamani ili utusahaulishe, njoo kivingine
 
Inakuwaje mtuhumiwa hata picha zake tusizione?mbona wakiwakamata wengine huwa wanatuonyesha?
Kitaalam hii inaitwa mbuzi kwenye guni.
 
Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz
Kweli hawa jamaa ni wasanii wanadhani Watanzania watapumbazwa na huu usasnii, kwani huyo ISP Msangi amepelekwa mahakamani mbona Dr ALISEMA ALICHUKUA SIMU NA WALET YAKE??? Sasa huu ni usanii gani mbona wahusika woote hakuna hata mmoja aliye kamatwa!!!!

Back
Top Bottom