Aliedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Jul 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Inasemekana aliyebambikwa kesi ya kumteka Dr. Ulimboka alifikishwa mahakamani kinyemela jana! Kweli polisi wanajua watz hamnaz


   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nakusoma lakini sikuoni kwenye skrini!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimebaki kushangaaa,,,sura yake je?????
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sio mkenya wa Dr Uli,ni mkenya wa Al-Haji Kova,,,,,,Nimebaki kushangaaa,,,sura yake je?????
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Fafanua mkuu.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,534
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu 2015 fika, Katiba mpya njoo sina la kuongeza.
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe ulikuwa hujui kuwa ccm na polisi wao wanatuona kuwa sisi wananchi ni wajinga.
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kwani ulitaka asifikishwe? Au watoe tangazo kwanza?
  Hiyo ni "mentioning" stage. Siyo lazima ipigiwe tarumbeta, at least hearing ndiyo ummas unatakiwa angalau ujue.
   
 9. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  hata picha zake mwiko! Yaani kiintelijensia watakuwa wamemshurutisha mtuhumiwa kumeza kesi isiyomhusu! Intelijensia hovy
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  kuwang'atua madarakani hawa mafisadi sii kazi ya lelema ni kazi ngumu mno ambayo inahitaji mbinu za medani! wanahofu na maovu waliofanya wakiwa madarakani, wanahofu na ukandamizaji waliowafanyia wapinzani., wanahofu na mali walizilimbikiza nje na ndani, hivo hawataondoka kirahisi tuiandae kutoka sasa!!
   
 11. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Yaani huelewi! Jamaa akawa na simu iliyoandikwa nimefika na najaribu kuwazoea! Atakuwa ni haohao TISS!
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nashindwa kuelewa jinsi wakenya wanavyoweza kuendesha magari hapa nchini bila ya namba za usajili. Ila mshangao mkubwa nilionao ni jinsi wakenya hao wanavyopajua mabwepande kuliko sisi.
   
 13. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Wanajaribu kulaghai, ndio ujumbe kutoka kanisani, ni ploted! Kanisa wameisha lijua! Kama akina kova wanasanii watajijua
   
 14. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Source wapo radio, wamefanya mahojiano na pastor anahisi ni utapeli! Ameonya watu wasifanye utapeli kwenye makanisa!
   
 15. Mhamiaji Haramu

  Mhamiaji Haramu Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeye ndio alivaa kombati na kubeba silaha nzito smg, na wenzako amesema wako wapi? kweli ccm wanadhani sisi wote ni dhaifu kama wao. ukwel atausema dr ulimboka ikiwa kulikuwa na muuaji aliyeongea lafudhi ya kikenya. poor kova
   
 16. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  haaaaaaaaaaaa
  ati kumbe wakenya wana lafudhi ya lugha ya kiswahili ya tz ...... aki mbona dr ulimboka hakugusia ati kulikuwa na mahojiano na some of them walikuwa na lafudhi ya kikenyaaaaa
  tushapigwa changa la macho
   
 17. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Serikali inahangaika kweli kufunika kombe shetani apite. Wasalama wanahangaikia nini kummaliza Ulimboka kama kweli wao hawakuhusika?????? Huyo bwana huenda ni mkenya wa kichina. Wasalama wa TZ wana akili kweli yaani, usipime. Sasa wanachezea akili zetu tuamini kwamba serikali haikuhusika kabisa. Angalia, Kova anasema "Alisema alitumwa na mtu kutoka ikulu au wapi sijui, hana uhakika na aliyemtuma na hamjui vizuri, ni wa Kenya na kule kuna kundi linalofanya shughuli hizo za kuteka na kutesa......" Aah aah, haipandi! Kova alikuwa na kigugumizi wakati wote alipokuwa anajieleza.
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Nimefika najaribu kuwazoea siyo kiswahili cha Mkenya bana! Should have been more or less- nimefika naongea na wao.
   
 19. g

  gongolamboto JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Unafikiria kwa masaburi wewe.
   
 20. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa kwa upande wangu akili imegoma kupokea kova bado hajachelewa sababu mtuhumiwa jajileta mwenyewe mpimeni akili na utuambia hamnazo ili intelegencia iendelee
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...