Omba archibishop mihayo tabora kuna dogo kapata hapo sema ni bsch of arts with education ya faida kwake mana ni inserviceWahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round!
Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana uwaambie na ufaulu wako ulikuwaje!
Karibun wadau
Mim nimepanga nkasome bachelar of scince with education kwa masomo ya Physics na Chemistry,niapply chuo gan ambao wataweza kunchukua kwa kutumia matokeo ya Foundation course??? kumbuka mim ni mwalimu tayar najiendeleza tuWapo wengi Sema unategemea na program inayotokana kusoma
Hayo masomo hukupaswa uwe umepitia Foundation,anyway omba openMim nimepanga nkasome bachelar of scince with education kwa masomo ya Physics na Chemistry,niapply chuo gan ambao wataweza kunchukua kwa kutumia matokeo ya Foundation course??? kumbuka mim ni mwalimu tayar najiendeleza tu
Marian university wanakuchukua Mimi nmepata hapo kupitia ofpMim nimepanga nkasome bachelar of scince with education kwa masomo ya Physics na Chemistry,niapply chuo gan ambao wataweza kunchukua kwa kutumia matokeo ya Foundation course??? kumbuka mim ni mwalimu tayar najiendeleza tu
NOTE : Wabongo ni watu wakitofauti SanaWakuu kitu kimoja mnatakiwa kunote ni kwamba hakuna chuo kinachodahili watu kutoka foundation! Labda wakufikirie chuo ulichotoka b4 hujasoma hyo foundation, napo kuna mawili wakuchukue au wakuteme. In short foundation course kupata chuo huwa ni ngumu!
Nakumbuka wakati nipo diploma kuna lecturer alikuwa anatuchana kabisa, anakwambia kama ukishindwa kupata gpa ya 3.0 kwenda bachelor ni bora urudie upyaaa kusoma diploma ila usijisumbue kusoma foundation sababu hakuna chuo kitakachokuchukua!.
Ila msikate tamaa jaribuni kuomba second round kila mtu na bahati yake hamuwezi jua.
Apply Open. Ingia kwa web. Then omba online. Tena itakufaa mwl. Na loanboard ombaMim nimepanga nkasome bachelar of scince with education kwa masomo ya Physics na Chemistry,niapply chuo gan ambao wataweza kunchukua kwa kutumia matokeo ya Foundation course??? kumbuka mim ni mwalimu tayar najiendeleza tu
Hivi Marian university Wanatoa course gsniMarian university wanakuchukua Mimi nmepata hapo kupitia ofp
Open University of Tanzania (OUT)
unaweza kufafanua zaidi point yako?Ukiwa mjanja , badili matokeo into AVN kwa kupitia NACTE then kinachofuata ni historia .