Alicia Keys tribute ya Jay Z, Bongo kama hii unapata kwa Ruby na Grace Matata

Daah! Alicia Keys what a beauty!?
I appreciate the beauty of this living angel.

Ukiachana na uzuri wake kanimaliza sana kwenye kipande cha Jay-Z cha wimbo wa IZZO.
H to the izz-O, V to the izz-A....

Humo mwamba alikamua kinyama ...amenikumbusha those old days when Hip-hop used to be hip-hop, Radio one used to be the best urban radio in town, kipindi cha nani mkali kila jumapili kama sikosei.

Unakuta Jay-Z anashindanishwa na Nas Escobar ...daah walimkosea heshima sana Jay-Z kumshindanisha na Nas. Nas kapotea wakati mwamba kadumu kwenye game more than a decade longer than Nas..
Is Jay Z still relevant today!?
 
Kapotea kwenye game kitambo, kaishia kuuza sura kwenye video clip ya Nicki Minaj ...
Ha haaa kweli Nas yule MC matata wa West Coast anakuja kuuza sura kwenye kideo cha cheap and low level Nick Minaj?
Nas mc wa west coast!? Sasa kwa nini alikuwa anashindana na Jay Z kuhusu nani ni King Of New York? Get your facts right man.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom